Magufuli ni Rais wa kwanza wa Tanzania ambaye hakulelewa na Nyerere

Kwa maoni yangu binafsi bila ya kuegemea upande wowote...

Hata mimi ninaweza kuwa na baadhi ya tabia kama za Nyerere lakini haihalalishi kunilinganisha naye..
Magufuli hayupo karibu hata kidogo na uwezo binafsi wala mambo aliyoyafanya Nyerere

Nyerere anatofautiana sana na Magufuli japo wanaeza kufanana viashiria kibinadamu tu.. Na sehemu kubwa ni zifuatazo

1. Diplomasia
2. Filosofia
3. Hali ya ubinafsi
4. Upendo juu ya nchi
5. Uendelezaji wa umoja pasipo kujali makabila , Kanda au dini ya mtu..

Mwisho wa siku ..Magufuli na Nyerere ni INCOMPARABLE
Namheshimu sana, tena mimi ni miongoni mwa wale Wakatoliki wachache, tutakao takiwa kwenda Vatican kutoa ushuhuda utakaomfanya Mwalimu Nyerere atangazwe Mwenye Heri.

Kasome hapa jinsi Magufuli anavyofanana na Nyerere
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni Kazi Tuu, Ila Pia sio Kama Nyerere! - JamiiForums
P
 
Narudia tena na nnaomba unielewe katika hili, tafadhali sana, NAOMBA UMUHESHIMU BABA WA TAIFA.

baba wa taifa aliunganisha taifa, aliruhusu mawazo tofauti, HAKUA FISADI, hakua na tamaa ya madaraka wala hakua mtu visasi, hakuwahi kujiita kichaa wala hakua na roho ya visasi, alijali mali za umma!!

Nnarudia tena na ndio mara ya mwisho, naomba sana umuheshimu baba wa taifa.
Katika kufanana, sio lazima mfanane kila kitu, hata wanandoa, kutokana na kuishi pamoja muda mrefu, inafikia kipindi, mume na mke wanafanana, hivyo kubali, kataa,
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni Kazi Tuu, Ila Pia sio Kama Nyerere! - JamiiForums
P
 
It's the other way round, Magufuli ni incarnation ya Nyerere,

Ni Nyerere ndiye aliyetabiri Tanzania kutawaliwa na mtu kama Magufuli.
Kauli huumba! Je, ni kweli Magufuli ni dikiteta? Kama ni kweli, ni kosa la nani kati yake na aliyetoa kauli hii? - JamiiForums
Halafu Magufuli anafanana na Nyerere

Kauli huumba mkuu P nimethibitisha mwenyewe kwa upande wangu hata kwa wapinzan tunahitaj rais dikteta kaja usimpe mwanao majina mabaya wala kumfananisha na vitu vibaya utavuna manuizo na laana ya kutamkika
 
Pascal Mayalla Mkuu acha kumfananisha J.K Nyerere na vitu visivyoeleweka cha ajabu wewe unamjua vizuri Nyerere harafu kwa sababu unazozijua wewe unamfanisha na hawa wengine ambao uwezo wao ni kawaida kabisa...
Mkuu Isanga Family, kwenye kumfananisha Magufuli na Nyerere, sijalinganisha sura, wala Kanda ya Ziwa, nimelinganisha, mawazo, maneno na matendo
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni Kazi Tuu, Ila Pia sio Kama Nyerere! - JamiiForums
P
 
Hadi wakati wa kifo chake, katika siasa za Tanzania tulizoea kuona Mwalimu Nyerere akitumia ushawishi wake kutuambia nani awe au anafaa kuwa Rais wetu. Sina ushahidi wowote kuwa Nyerere alimjua Magufuli (kama kuna mwenye nao naomba aulete). Ukiliangalia kwa jicho tu la kihistoria, kama Mwalimu hakumjua Magufuli, ni jambo kubwa na lenye maana sana.

Hiyo siku ambayo tungepata mtu ambaye hakutoka chini ya ulezi wa Mwalimu ingekuja tu hilo halina ubishi. Kwa hiyo hii siyo hukumu ya utendaji wa Rais Magufuli, ni historia tu inaangaliwa hapa.

Kuna mwandishi mmoja aliwahi kuandika kitabu kikubwa cha maisha ya Nyerere kinaitwa 'End of an Era'. Nadhani kifo chake kilikuwa mwanzo tu lakini taratibu, hatua kwa hatua tukawa tunasogea, tukaja wakati wa Kikwete tukapiga hatua zaidi kuelekea huko. Hatimaye tumefika kwa Ndugu John Pombe Joseph Magufuli.

Tunapoadhimisha kifo na maisha ya Nyerere, nadhani tutakuwa hatukosei tukisema awamu hii ya tano ni rasmi sasa tukisema 'it is indeed end of an era'.

Naomba hili jambo moja dogo tulikumbuke na tulihifadhi katika fikra zetu.
Jiwe mwenyewe anajitutumua kweli kujifanya alimjua Nyerere!
 
Una low IQ kama the rest, kwa hiyo ulitegemea mtu aliyefariki miaka 10 iliyopita amjue kila Raisi wa JMTZ atakayekuja baadaye? Isitoshe sawa Nyerere hakumjua Raisi Magufuli hao Nyerere aliowajua pmj na Nyerere mwenyewe wamefanya nini TZ?

Isitoshe Nyerere na Magufuli wote Kanda ya Ziwa siajabu hata wanasikilizana na Nyerere viruga vyao na Nyerere alipendelea sana watu wa kwao!
Mkuu Seek for a psychologist.

Hivi huna ndugu akakusaidia ?
 
Hadi wakati wa kifo chake, katika siasa za Tanzania tulizoea kuona Mwalimu Nyerere akitumia ushawishi wake kutuambia nani awe au anafaa kuwa Rais wetu. Sina ushahidi wowote kuwa Nyerere alimjua Magufuli (kama kuna mwenye nao naomba aulete). Ukiliangalia kwa jicho tu la kihistoria, kama Mwalimu hakumjua Magufuli, ni jambo kubwa na lenye maana sana.

Hiyo siku ambayo tungepata mtu ambaye hakutoka chini ya ulezi wa Mwalimu ingekuja tu hilo halina ubishi. Kwa hiyo hii siyo hukumu ya utendaji wa Rais Magufuli, ni historia tu inaangaliwa hapa.

Kuna mwandishi mmoja aliwahi kuandika kitabu kikubwa cha maisha ya Nyerere kinaitwa 'End of an Era'. Nadhani kifo chake kilikuwa mwanzo tu lakini taratibu, hatua kwa hatua tukawa tunasogea, tukaja wakati wa Kikwete tukapiga hatua zaidi kuelekea huko. Hatimaye tumefika kwa Ndugu John Pombe Joseph Magufuli.

Tunapoadhimisha kifo na maisha ya Nyerere, nadhani tutakuwa hatukosei tukisema awamu hii ya tano ni rasmi sasa tukisema 'it is indeed end of an era'.

Naomba hili jambo moja dogo tulikumbuke na tulihifadhi katika fikra zetu.

Swali zuri, lakini kulelewa na mtu haina maana yule anaelelewa atafuata maelekezo ya mlezi ya anaemlea. Haya yako dhahir kwenye familia zetu na jamii. Alicho sisitiza Mwalimu Nyerere ni sifa na miiko ya kiongozi na wajibu wa Uzalendo.
Kwa kifupi maneno yake hasa kunako miiko ya kiongozi na wajibu wa mzalendo yamo kwenye katiba ya Tanzania, ambayo Magufuli aliapa kuilinda, vinginevo tusingemruhusu atuongoze. Na aliandika Nyerere "Ole wake tusipoisaidia Tanzania". (ikitokea kiongozi au viongozi wasiofuata katiba)

Kulingana na paragraph ilotangulia. Inawezeka Magufuli hakulelewa na Nyerere, au hafuati malezi ya nyerere. Si hilo tu, inawezekekana hajui maana katiba kwa sababu zifuatazo. (1) Katika miiko sita ya kiongozi Magufuli amekiuka yote. ( 2) Amekiuka Haki zote za raia Basic rights zilizomo kwenye Katiba ambazo aliapa kuzilinda. Hizi ni haki zetu, ikiwemo usalama. Nyerere alisema "OLE WAKE TUSIPOISAIDIA TANZANIA" Nisaidie ueleo wako wa haya maneno.
 
Mkuu Isanga Family, kwenye kumfananisha Magufuli na Nyerere, sijalinganisha sura, wala Kanda ya Ziwa, nimelinganisha, mawazo, maneno na matendo
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni Kazi Tuu, Ila Pia sio Kama Nyerere! - JamiiForums
P
Pascal Mayalla ni muda nimeanza kukusikia kwenye tasnia ya habari sikutegemea kuwa na wewe kuwa na majibu ya kuwafananisha hawa watu wawili, kaa tuliza akili Mkuu harafu uone upo sawa kwa unachokipigania kwanza Nyerere ni mmoja wa Watanzania wachache wenye Ex rated Brain..
 
Hadi wakati wa kifo chake, katika siasa za Tanzania tulizoea kuona Mwalimu Nyerere akitumia ushawishi wake kutuambia nani awe au anafaa kuwa Rais wetu. Sina ushahidi wowote kuwa Nyerere alimjua Magufuli (kama kuna mwenye nao naomba aulete). Ukiliangalia kwa jicho tu la kihistoria, kama Mwalimu hakumjua Magufuli, ni jambo kubwa na lenye maana sana.

Hiyo siku ambayo tungepata mtu ambaye hakutoka chini ya ulezi wa Mwalimu ingekuja tu hilo halina ubishi. Kwa hiyo hii siyo hukumu ya utendaji wa Rais Magufuli, ni historia tu inaangaliwa hapa.

Kuna mwandishi mmoja aliwahi kuandika kitabu kikubwa cha maisha ya Nyerere kinaitwa 'End of an Era'. Nadhani kifo chake kilikuwa mwanzo tu lakini taratibu, hatua kwa hatua tukawa tunasogea, tukaja wakati wa Kikwete tukapiga hatua zaidi kuelekea huko. Hatimaye tumefika kwa Ndugu John Pombe Joseph Magufuli.

Tunapoadhimisha kifo na maisha ya Nyerere, nadhani tutakuwa hatukosei tukisema awamu hii ya tano ni rasmi sasa tukisema 'it is indeed end of an era'.

Naomba hili jambo moja dogo tulikumbuke na tulihifadhi katika fikra zetu.
It makes a lot of sense why there is so much hopelessness in this land.
 
kwanza alikataa hao jamaa kuingia Ikulu. wakati akiwa kwenye harakati za kudai uhuru. hao jamaa walipendekeza lugha yao iwe ya Taifa. Nyerere akaona harufu ya ukabila na ubinafsi. hivyo hakupenda hao jamaa kushika nchi. CCM tulifanya makosa makubwa sana. lakini ni baada ya kuona angalau ni msafi kidogo. kumbe duh.!!!!! Kila kukicha mkulu yupo kanda ya ziwa. Mikoa Ya mashangazi hajakanyaga kabisa. Sijui huko sio Tanzania!? Yuko Tanzania ananyoosha nchi.
Hadi wakati wa kifo chake, katika siasa za Tanzania tulizoea kuona Mwalimu Nyerere akitumia ushawishi wake kutuambia nani awe au anafaa kuwa Rais wetu. Sina ushahidi wowote kuwa Nyerere alimjua Magufuli (kama kuna mwenye nao naomba aulete). Ukiliangalia kwa jicho tu la kihistoria, kama Mwalimu hakumjua Magufuli, ni jambo kubwa na lenye maana sana.

Hiyo siku ambayo tungepata mtu ambaye hakutoka chini ya ulezi wa Mwalimu ingekuja tu hilo halina ubishi. Kwa hiyo hii siyo hukumu ya utendaji wa Rais Magufuli, ni historia tu inaangaliwa hapa.

Kuna mwandishi mmoja aliwahi kuandika kitabu kikubwa cha maisha ya Nyerere kinaitwa 'End of an Era'. Nadhani kifo chake kilikuwa mwanzo tu lakini taratibu, hatua kwa hatua tukawa tunasogea, tukaja wakati wa Kikwete tukapiga hatua zaidi kuelekea huko. Hatimaye tumefika kwa Ndugu John Pombe Joseph Magufuli.

Tunapoadhimisha kifo na maisha ya Nyerere, nadhani tutakuwa hatukosei tukisema awamu hii ya tano ni rasmi sasa tukisema 'it is indeed end of an era'.

Naomba hili jambo moja dogo tulikumbuke na tulihifadhi katika fikra zetu.
 
Mada nyingine za hovyo tu, kwani mleta mada kalelewa na Nyerere?
Inashangaza sana mkuu, yaani mleta mada anataka kila kiongozi wa nchi hii awe zao la Nyerere, itawezekana kweli, maana hata huko 2050 Tanzania itakuwa na Rais na kwa namna yeyote hawezi akawa kalelewa na Nyerere, na sidhani hata anaweza akawa anamfahamu hata Rais wa sasa.
 
Hadi wakati wa kifo chake, katika siasa za Tanzania tulizoea kuona Mwalimu Nyerere akitumia ushawishi wake kutuambia nani awe au anafaa kuwa Rais wetu. Sina ushahidi wowote kuwa Nyerere alimjua Magufuli (kama kuna mwenye nao naomba aulete). Ukiliangalia kwa jicho tu la kihistoria, kama Mwalimu hakumjua Magufuli, ni jambo kubwa na lenye maana sana.

Hiyo siku ambayo tungepata mtu ambaye hakutoka chini ya ulezi wa Mwalimu ingekuja tu hilo halina ubishi. Kwa hiyo hii siyo hukumu ya utendaji wa Rais Magufuli, ni historia tu inaangaliwa hapa.

Kuna mwandishi mmoja aliwahi kuandika kitabu kikubwa cha maisha ya Nyerere kinaitwa 'End of an Era'. Nadhani kifo chake kilikuwa mwanzo tu lakini taratibu, hatua kwa hatua tukawa tunasogea, tukaja wakati wa Kikwete tukapiga hatua zaidi kuelekea huko. Hatimaye tumefika kwa Ndugu John Pombe Joseph Magufuli.

Tunapoadhimisha kifo na maisha ya Nyerere, nadhani tutakuwa hatukosei tukisema awamu hii ya tano ni rasmi sasa tukisema 'it is indeed end of an era'.

Naomba hili jambo moja dogo tulikumbuke na tulihifadhi katika fikra zetu.
Kipi kizuri, kuwa na Rais ambaye hakulelewa na Mwalimu Nyerere ama kuwa na Rais aliyekataliwa na Mwalimu mwaka 1995?
 
It's the other way round, Magufuli ni incarnation ya Nyerere,

Ni Nyerere ndiye aliyetabiri Tanzania kutawaliwa na mtu kama Magufuli.
Kauli huumba! Je, ni kweli Magufuli ni dikiteta? Kama ni kweli, ni kosa la nani kati yake na aliyetoa kauli hii? - JamiiForums
Halafu Magufuli anafanana na Nyerere
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni Kazi Tuu, Ila Pia sio Kama Nyerere! - JamiiForums
P

Nilijua mjadala ungetumbukia huko ila sikutegemea ingekuwa haraka hivi. Mimi nilikuwa nasema a SIMPLE FACT, nikaomba kama kuna mwenye taarifa tofauti ailete na mimi ningefunga mjadala.

Tena nikasema wazi, siongelei utendaji, tabia, sura, sauti au tembea ya Rais Magufuli. Haina tofauti na wewe Pascal, wewe ndiyo mwandishi wa mwisho kumuhoji Mwalimu, that's a fact. Unaweza kuwaambia hiyo fact, mtu akija akasema kulikuwa na waandishi bora zaidi yako au wenye uwezo kama wewe itabidi umshangae!

Ni kweli, ukienda ndani zaidi ya hiyo fact inaweza kupanua mjadala ndiyo maana sishangai mjadala kwenda huko ila tusianze basi kuogopa hadi historia yetu!

Hivi siasa zetu zimeharibika hivi, watu wanaogopa kukubali simple facts wasije wakaonekana wanamdhihaki au kumkashifu mtu fulani? Hali ni mbaya kiasi hiki?
 
Kwanza Nyerere anaeeza kuwa hakumjua Magufuli kwa nafasi ya rais ila alimjua kwa kutabiri kwamba anaeeza akaja kutokea mtu mwenye msimamo kama wa kwake,

Pili Magufuli amekuwa mbunge tokea mwaka 1995 ambapo Nyerere alikuwa anafuatilia mienendo ya siasa na wana siasa wapya ambao wamo ndani ya CCM na hata nje ya CCM,pia amekuwa naibu waziri na waziri kipindi hicho ni vigumu sana kwa wabunge wa CCM kutojulikana kwa aliyekuwa muasisi wa chama, natoa mfano mdogo kwamba mzee msingi akija akatangulia mbele ya haki mfano simaanishi, na baadae Suleimani Jaffo akawa rais utukasema mwinyi hamjui kisa hakumlea? Hapana ishu hapa ni kwamba Ana nafasi gani wakati gani,

At least wewe umejaribu kubaki katika point niliyoileta. Zamani niliwahi kuwa na conspiracy moja nilikuwa nacheza nayo kichwani kwamba Nyerere labda alikuwa na shule ya siri ya kulea na kufundisha viongozi wa baadae siyo tu wa Tanzania bali Afrika nzima, wengine labda chipukizi kabisa. Baadae ikafika wakati nikaaachana nayo!

Kusema Nyerere alimjua kila mbunge wa CCM wakati ameshaenda kujipumzikia zake huko Butiama au anahangaikia madeni ya nchi kusamehewa naona hapo umezidisha au unalazimisha. Sisemi haiwezekani. Na pia mimi siongelei kumjua tu mtu kwa jina, naongelea kama Mwalimu alimfahamu, labda hata akapata nafasi ya kumpa mawili matatu. Hakuna uthibitisho wowote kama hilo liliwahi kutokea.

Kungekuwa hata na kapicha ka Nyerere na Magufuli hata wakisalimiana tu tungekuwa tumeishaiona.
 
Back
Top Bottom