Mkuu rais Magufuli Hongera sana kwa uamuzi wa kuzuia mchanga wetu kutoroshwa na kuchujwa nje ya nchi. Wakati nchi ikipoteza fedha nyingi. Ni vema tutafute mkopo nafuu tuwekeze hapa Nyumbani Tupate fedha na ajira kwa watu wetu.
Tumemsikia Tundu Lisu akipinga jana kupitia sauti ya ujrumani kiswahili. Watanzania tumekuja jua wabaya wetu kimaendeleo.
Piga kazi baba mungu akubariki sana. Uwekezaji huu ni sehemu ya Uwekezaji wa viwanda Tanzania unaopigania