Kwenye bajeti ya Mwaka 2014/2015 Waziri Magufuri akisoma bajeti hiyo alisema kwamba atajenga barabara ya Banana Kitunda,Kitunda Kivule na Kivule Msongola kwa kiwango cha lami.lakini hadi naandika hapa hakuna kilichofanyika na Ikonga kuna Mbunge Mwaiposa na Meya Jerry wamekaa kimya na sasa wanatoa rushwa wote wakitaka Ubunge.
Hata hivyo kwa kuwa njia hii imeharibika sana nasubiri mvua ili tuondoe mashimo na makorongo yote ila nawaomba wana Ukonga ikifika kwenye uchaguzi na wawili hao yupo miongoni mwa wagombea kumbuka kuwaadhibu kwa mateso haya makubwa.Toa adhabu kwa Ccm na washirika wao.
= Magufuli
Punguani wahed.
= Magufuli
Punguani wahed.
= Magufuli
Punguani wahed.
Huyu mleta mada sidhani kama anajua watu wanavyomfagilia Maghufuli. Anadhani anaweza kumchafua kirahisi hivyo.Ninavyo mjua magufuri kwa uchapa kazi wake nadhani lipo tatizo, ushauri wangu kama wewe ni mkazi wa uko nenda wizara ya ujenzi au TANROAD watakupa majibu ya msingi.
Hizi hoja mbofumbofu naziona kama zilipendwa katika kuidhibiti CCM. nyie dawa yenu ndogo tu ZITTO KABWE, kishawakamata subirini tu Bunge livunjwe ndo mtajua habari yenu. Tena safari hii CCM haitumii nguvu kabisa.Faizal umeboa! Ni kejeli kwa sio kwa aliyepost Bali Watu wote wa maeneo yaliyotajwa.
Mleta post: Akili ya wanaotuongoza sasa (CCM + SERIKALI Yake) IMEGOTA - imefikia mwisho. Hakuna jipya la maana tena wanaloweza kufanya hata wakipewa miaka 100 mingine. Akili ya Kila mmoja Wao Iko sehemu moja tu: namna ya KUIIBIA NCHI tu. Kwa hiyo Kila kiongozi anafikiri namna ya kuiba tu.... Full Stop.
WE NEED TO UPROOT ENTIRE SYSTEM!
= Magufuli
Punguani wahed.
Akili ya ki ccm. Yaani katika hoja nzima umeona hapo tu.
Hahahhahahahahahha FaizaFoxy
Unajifanya kumjua vema huyo magufuli?
Yani huyu demu FaizaFoxy anavyotupeleka mbio humu ndani khaaaa!!!!Faizal umeboa! Ni kejeli kwa sio kwa aliyepost Bali Watu wote wa maeneo yaliyotajwa.
Mleta post: Akili ya wanaotuongoza sasa (CCM + SERIKALI Yake) IMEGOTA - imefikia mwisho. Hakuna jipya la maana tena wanaloweza kufanya hata wakipewa miaka 100 mingine. Akili ya Kila mmoja Wao Iko sehemu moja tu: namna ya KUIIBIA NCHI tu. Kwa hiyo Kila kiongozi anafikiri namna ya kuiba tu.... Full Stop.
WE NEED TO UPROOT ENTIRE SYSTEM!
Hizi hoja mbofumbofu naziona kama zilipendwa katika kuidhibiti CCM. nyie dawa yenu ndogo tu ZITTO KABWE, kishawakamata subirini tu Bunge livunjwe ndo mtajua habari yenu. Tena safari hii CCM haitumii nguvu kabisa.
Ohooooo!!!!Unamuona wewe kuwa anakupeleka puta,hana lolote ni gamba tu
Ohooooo!!!!
ngoja aje akuharibie siku!!!
Faizal umeboa! Ni kejeli kwa sio kwa aliyepost Bali Watu wote wa maeneo yaliyotajwa.
Mleta post: Akili ya wanaotuongoza sasa (CCM + SERIKALI Yake) IMEGOTA - imefikia mwisho. Hakuna jipya la maana tena wanaloweza kufanya hata wakipewa miaka 100 mingine. Akili ya Kila mmoja Wao Iko sehemu moja tu: namna ya KUIIBIA NCHI tu. Kwa hiyo Kila kiongozi anafikiri namna ya kuiba tu.... Full Stop.
WE NEED TO UPROOT ENTIRE SYSTEM!
punguani wahed ndio nn!
kwa nn, upigwe BAN kwa kashFa iyo