Magufuli ndio anatoa 'Coup de grace' kwa CCM

Tafiti zako labda zitakubalika kwa Wanachadema wenzako tu lkn hakuna mtu mwenye akili Dunia hii anayeweza kukubalia kutokana na huu ukweli ufuatao; ukawa (Muungano wa vyama vyote) umepata Wabunge chini ya 80 wakati CCM imeshindwa Wabunge zaidi ya 200, Raisi wa JMTZ (CCM) amemshinda mpinzani wake wa ukawa kwa tofauti ya karibia asilimia 20 (20%) ya kura zote zilizopigwa hii ni tofauti kubwa sana kwa kiwango chochote kile kinachotumiwa na binadamu kwanza ingekuwa Vyama vya Kidemokrasia Viongozi wote wa ukawa walipaswa wajiuzulu kwani wameshindwa kabisa, chaguzi za Serikali za Mitaa ndiyo wala usiseme!

Kumbuka kwamba nimeongelea kuhusu ukawa na wala siyo chama kimoja kimoja, kama tukichukua kwa mfano chadema peke yake hali inakuwa mbaya zaidi!
tukikuwekea kura halali walizopata wapinzani kwenye majimbo lukuki waliyodhulumiwa utakuwa tayari kurekebisha hizo % ulizoweka hapa ?
 
Nyumbu katika ubora wao...
-Kwa hiyo tajiri akitumbuliwa jipu, kwa CDM hilo ni kosa
- Kwa hiyo Magufuli akiweka utaratibu bora wa fedha za serikali kwenye mabenki kwa CDM hilo ni tatizo...
- Mnataka Magufuli aiamrishe ZEC Zenji au mnataka afanyaje, mwenye akili timamu anajua Magufuli hana mamlaka yoyote juu ya ZEC, ZEC ni tume huru, ila Magufuli ana mamlaka juu ya usalama wa Tz nzima so yoyote atakayeleta ujinga ajue atapambana na mkono wa mzito wa Magu.
Hadi ikifika 2020 mtakuwa activists wa #LGBT...
KATAA KUWA NYUMBU
 
tukikuwekea kura halali walizopata wapinzani kwenye majimbo lukuki waliyodhulumiwa utakuwa tayari kurekebisha hizo % ulizoweka hapa ?
Tuwekee hizo kura halali hata za jimbo moja tu zilizosainiwa na mawakala ambazo zipo tofauti na NEC? Inashangaza sana UKAWA wanashindwa hata kuchagua mwenyekiti wa PAC & LAAC kwa vile common faces hazipo, hivo hiyo serikali mlikuwa mnataka muiongoze vipi?
 
Tuwekee hizo kura halali hata za jimbo moja tu zilizosainiwa na mawakala ambazo zipo tofauti na NEC? Inashangaza sana UKAWA wanashindwa hata kuchagua mwenyekiti wa PAC & LAAC kwa vile common faces hazipo, hivo hiyo serikali mlikuwa mnataka muiongoze vipi?
Mahakama itajumlisha upya matokeo ya jimbo la kigoma kusini na David Kafulila atakuthibitishia hiki nilichokuwekea hapa .
 
Mahakama itajumlisha upya matokeo ya jimbo la kigoma kusini na David Kafulila atakuthibitishia hiki nilichokuwekea hapa .
Kwa hiyo kwa sasa huna ushaidi, hizo ni kura za ubunge, mimi nimeuliza kura za urais au unamaanisha hata majimbo ambayo UKAWA wameshinda ubunge NEC wamekosea?
KATAA KUWA NYUMBU
 
Kwa hiyo kwa sasa huna ushaidi, hizo ni kura za ubunge, mimi nimeuliza kura za urais au unamaanisha hata majimbo ambayo UKAWA wameshinda ubunge NEC wamekosea?
KATAA KUWA NYUMBU
mambo yaliyo mahakamani si vema yakajadiliwa vijiweni , muda ukifika tutakuwekea majimbo zaidi , usije ukazimia maana ni noma kweli !
 
Moja ya kanuni za msingi kabisa katika mijadala ni hii: "Jikite katika hoja ya mpinzani wako. Kuelewa vizuri hoja ya mpinzani wako ni muhimu katika kuinyoosha na kuirekebisha (refute)". Mtoa mada hapa ametoa hoja nzuri na nzito kuhusu Rais Magufuli na udhaifu wa chama chake CCM. Ametaja maeneo kadhaa yenye udhaifu kiutendaji kama bomoa bomoa, vita na mabenki ya kibiashara, mkwamo wa Zanzibar, uhusiano wa kimataifa na mambo ya ubaguzi. Hii ni mada nzito inayopaswa kujadiliwa kwa hoja za kiuchambuzi ambazo zitatoa mwanga wa ufahamu kuhusu haya masuala. Cha kushangaza na kusikitisha ni baadhi ya wanaJF (ambao kimsingi wanajinasibu kama "great thinkers") kuacha mada na kukimbilia kujadili mambo ya uchaguzi wa mwaka jana, Ukawa na kutaja majina ambayo hayana uhusiano wowote na hoja inayojadiliwa. Huu ni udhaifu mkubwa. Badala ya JF kuwa uwanja wa mapambano ya hoja zenye mantiki, inageuzwa kuwa kijiwe cha kejeli, matusi, vijembe na mipasho. This must stop!
 
tukikuwekea kura halali walizopata wapinzani kwenye majimbo lukuki waliyodhulumiwa utakuwa tayari kurekebisha hizo % ulizoweka hapa ?


Neno kura halali kila mtu anaweza kulisema, kuanzia siku fisadi Lowasa alipotangaza kuyakataa matokeo mpaka leo hii hakuna siku ile yoyote aliyoweka wazi ushahidi wa kuibiwa kura si ndani ya TanZania wla nje ya tanZani kwenye taasisis za kimataifa alizosema kwamba atakwenda, hivyo hata CHAUMA wanaweza kusema pia wameshinda Majimbo 50 lkn wameibiwa kura, wekeni Ushahidi wa hizo kura halali unazoziongelea vinginevyo ni usanii!
 
Sina uhakika kama Magufuli anamalizia kuiua CCM au CCM ilishakufa siku nyingi
tunahangaika na kivuli chake tu

Jambo moja la uhakika ni kuwa CCM uhai wake unategemea dola na uchaguzi wa hila....

Na sina hakika kama Magufuli ataweza kuiokoa CCM au ataimalizia....
kiukweli kazi aliyonayo ni ngumu sana...

Bado hata hivyo watanzania ni mapema mno kusema nini watafanya nini next
 
Sawa basi tuweke pembeni Uraisi ambao mnasema mmeibiwa ingawaje mpaka leo hii haman ushsidi wowote ule mliotoa zaidi ya maneno tu!

Vipi kuhusu Ubunge? Kwa maana matokeo ya Ubunge mnayakubali sasa mbona tofauti ni kubwa sana? Ni zaidi ya mara mbili ukawa Wabunge 78 CCM zaidi ya 200!!!

Hapo vipi utamshawishi nani Duniani akuelewe kwamba Chama kilichoshinda viti zaidi ya 200 dhidi ya chini ya 80 eti kinakufa??
!!!

Ni mtu mwenye akili ndogo tu anayeishi kwenye Dunia yake mwenyewe ambayo kiuhalisia haipo ndiyo anaweza kufikiri hivi!
Ivyo 78 vilikuwaga vya nan?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
unataka ushahidi? CCM imegaragzwa ZANZIBAR vibaya sana CCM Pemba haikupata hata kiti kimoja angalau cha diwani. Ngome ya CCM Unguja imesambaratishwa .CCM watia mpira kwapani. Wamesema wameibiwa. .Wameambiwa toeni ushahidi wameshindwa, wakaamua kufuta uchaguzi.
CCM ni KAPUT
 
Ndugu zangu kuweni wapole; watafiti na weled li katika hija zenu. Tujenge nchi yetu kwa hoja zenye mantiki
 
Tusubiri2020 tuone kama hoja yako inamashiko!!Watanzania ndo walewale wa enzi za MwL.
Kuitoa ccm 2020 ni ngumu co kwasbb Rais Magufuli atakuw anaaminiwa sana ila ni miujiza tu ya ccm, Magufuli sio kiongoz mzur na wala cjui kama atawah kuwa mzur hata cku moja. Ila baada yake hata kabidh madaraka kwa mtu wa ccm kam alivykabidhiwa yy, hakutakuw na jins
 
Back
Top Bottom