MWAKATA KWETU
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 562
- 319
Kuna mambo mengi sana ya kujifunza juu ya uongozi wa Raisi wa Tanzania John Joseph Pombe Magufuli,ni viongozi wachache sana Duniani walishawahi kujitokeza na kufanya kwa vitendo mambo ambayo waliyaahidi kipindi cha kampeni.Hakika huyu kiongozi ni
mfano wa kuigwa na viongozi wengine wanatakiwa wafate nyayo zake ,hebu tuone ni mambo gani anayafanya Raisi ambayo ni ufunguo wa Maendeleo katika Taifa lolote lile duniani;
1:Miundo mbinu;
Taifa lolote lile ili liweze kukua katika uchumi
ni razima,lijenge barabara imara ambazo zitachochea katika ukuaji wa uchumi kwa nchi na watu wake
Ujenzi wa Viwanja vya ndege na uimarishaji wa biashara ya anga kama vile import and export of goods,raw material n.k,hii ina influence kukua kwa uchumi wa nchi husika.
Ujenzi wa bandari
Nchi ikiwa na bandari bora,, hii inasaidia Meli kubwa kutia nanga na kushusha mizigo mikubwa bandarini..
Ujenzi wa reli
Pia inasaidia kusafirisha mizigo kwa be nafuu sana ambapo wananchi inawasaidia kumdu bei ya bidhaa.
Uboreshaji wa Afya
Hospitali,Vituo vya Afya na Dispensary vimejengwa kwa kasi kubwa nchini tangia uhuru...ingawa bado kuna shida katika utoaji wa huduma upande wa dawa ..budget kubwa inatumika katika ujenzi wa Hospitali,Vituo vya Afya,hivyo serkali inatakiwa kuongeza nguvu katika Dawa.
Uboreshaji wa Sekta ya Elimu
Raisi alifuta ada mashuleni ili kuwapa nafasi watanzania kusoma kwa wingi..
Pia amepunguza maandamano kwa wanafunzi vyuo vikuu kwasababu anatoa mkopo kwa muda mwafaka.
Hayo ni baadhi ya mambo mengi mazuri anayoyafanya huyu Raisi,siwezi kuyasema yote kama vile Nidhamu kwa watumishi wa umma.
Wapo wanaobeza,,hatuwezi kuwazuia wasipinge kwani ndio binaadam tulivyoumbiwa.
Ni asili ya binadamu kujiona yeye ni bora kuliko mwenzie..hivyo tuwapuuze wanaobeza,,,wanaotukana,,
Wanaokejeri kwani Nchi huwezi ijenga kwa kuongea sana bali ni kufanya kazi kwa bidii