MJENGA
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 884
- 850
Ndugu zangu wanajamvi hii Style ya Rais Magufuli ni hatari sana kwa upinzani nchini na tunaweza kuiname kama preemptive strike dhidi ya upinzani. Ilivyo sasa jamaa ni kama wamemwagiwa maji tena ya barafu!. Kila jambo wanalotaka kuligeuza kama agenda jamaa analiona na kulipreempty fasta!. Wajipange aise vinginevyo by 2020 they will be no more!