Magufuli ni msanii tu na hana kazi za kufanya wala haonyeshi kuwa anaumizwa na jambo lolote linalomsukuma kuutaka urais. Yani ni mtu anayechululia urais kama post tu yoyote katika baraza la Mawaziri.
Hajajiandaa. Hajaandaliwa!!!
Mtu makini atapandaje ngazi wakati kuna lift .. Yan ili iweje?
Magufuli ni comedy tu. Kama ni mazoezi wenzake wana tread mills nyumbani yeye anaparamia mingazi na kunuka kwapa. Kupoteza muda kijinga na urugaruga tu!!
Sio presidential material kabisa!!