Magufuli na Bendera ya Taifa

Magufuli na Bendera ya Taifa

Sajenti

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
3,651
Reaction score
414
Jana usiku nilikuwa naangalia habari kwenye kituo kimoja cha runinga. Likatoka tangazo likimuonyesha Dr. Magufuli akijieleza kwa unyenyekevu kwa watazamaji akiomba kura, nyuma kulikuwa na background ya bendera ya Taifa na pia hata vituo kadhaa vya radio nimesikia mara kadhaa wakitoa tangazo la huyo huyo Magufuli na wimbo wa Taifa ukipigwa.

Maoni yangu:

Kwa kuwa uchaguzi bado basi vyama vya siasa vizuiwe kutumia wimbo na bendera ya Taifa kwenye kampeni zao. Badala yake watumie nembo na bendera zao na ikibidi nyimbo za vyama vyao vinginevyo naona hii haiko vizuri.
 
Kwa mtazamo wangu sioni tatizo la kutumia wimbo wa Taifa katika kampeni, kwani kampeni za ni kitaifa na pia katika kuombea amani kipindi hiki cha kampeni.
ingekuwa heri hata katika nyumba zetu za Ibada Wakristo na Waislamu tuimbe wimbo wa Taifa tuombee amani Tanzania na pia tujenge Umoja na mshikamano.

Ni mtazamo wangu tu msinishambulie.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kuna watu mna akili za kushikiwa balaa, hiyo ni chuki tu kwasababu maghufuli ni ccm, hakuna mgombea anaeuzuiwa kutumia wimbo wa taifa na kutumia bendera ya taifa, hata Mh Rungwe au nani sijui yule wa nccr mageuzi wote wakitaka watu waimbe wimbo wa taifa kabla hawajaanza kuhutubia, wanaruhusiwa pia, kwani wagombea wote ni watanzania. Acheni ushabiki usiokuwa na faida kwa future ya taifa letu
 
mkuu wimbo wa taifa ni tunu ya taifa hautakiwi kupigwa bila kufuata utaratibu.Nchi za wenzetu wimbo ukipigwa hata ukiwa wapi lazima usimame na kuonyesha heshima na uzalendo kwa nchi yako.Binafsi naipenda Tanzania na naheshimu nchi yangu na niko tayari kufa kwa ajili ya nchi yangu.Naomba wimbo wa taifa na bendera ya taifa ni tunu kwa taifa na viheshimiwe. Mungu ibariki Tanzania Mungu tubariki watoto wa Tanzania
Kwa mtazamo wangu sioni tatizo la kutumia wimbo wa Taifa katika kampeni, kwani kampeni za ni kitaifa na pia katika kuombea amani kipindi hiki cha kampeni.
ingekuwa heri hata katika nyumba zetu za Ibada Wakristo na Waislamu tuimbe wimbo wa Taifa tuombee amani Tanzania na pia tujenge Umoja na mshikamano.

Ni mtazamo wangu tu msinishambulie.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Ni vizuri kuombea amani, lakini nadhani nguvu zaidi zipelekwe kuombea haki itendeke !. Bila haki kutendeka, possibility ya kuvurugika kwa amani IKO PALE PALE hata kama wakristo na waislam wataimba na kuomba kwa machozi ya damu !

Kuna principles tukizi-violate, itakula kwetu tu....na mojawapo ya principle hii ya msingi ni kutokuwepo kwa haki....

Kwa mtazamo wangu sioni tatizo la kutumia wimbo wa Taifa katika kampeni, kwani kampeni za ni kitaifa na pia katika kuombea amani kipindi hiki cha kampeni.
ingekuwa heri hata katika nyumba zetu za Ibada Wakristo na Waislamu tuimbe wimbo wa Taifa tuombee amani Tanzania na pia tujenge Umoja na mshikamano.

Ni mtazamo wangu tu msinishambulie.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom