Magufuli my president ever

m2020

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
979
1,353
Mkuu mheshimiwa rais magufuli

Mungu akubariki kwani kazi yako haina wakulinganisha naye labda hayati Nyerere.

Najidai kuwa mtanzania kwasababu yako mheshiwa rais wangu.

Mungu akubariki sana ndoto zako ziko sawa na zinatisha kwani zinakamilika ndani ya muda mfupi katika nchi yetu.

Kila la heri mkuu.
 
Wewe ndiye mwandishi wa gazeti hili ?
FB_IMG_1562615332732.jpg
 
Back
Top Bottom