Nakubaliana nawe,lakini tatizo ni kwamba gharama ya fidia kwa majengo na mali nyingine kando ya barabara na maeneo husika ni kubwa kuliko hata gharama ya ujenzi wa barabara yenyewe........na hii ndiyo sababu ya msingi ya kushindwa kwa upanuzi wa barabara hiyo...............
..........na hapa tujifunze kuwa serikali kwa kupitia mamlaka husika yaani wakala wa barabara TANROADS na manispaa,wizara ya ardhi,mipango miji zinahitaji kufanya kazi kwa pamoja na kwa wakati wote,kwani kama wamiliki wa maeneo husika wasinge kuwa wamemilikishwa kihalali viwanja kwenye maeneo husika basi ingekuwa sahihi na rahisi sana kuvunja majengo yaliyojengwa kando ya barabara hiyo....................
Serikali ya CCM bana... inaachia watu wafyatue matofali na kujijengea mihekalu ikijua fika kuwa wako ndani ya hifadhi za barabara... miaka 3 mbele inaanza kuhaha kutafuta fidia za kupanulia mabarabara hayohayo!!
gharama ipi wakati ni eneo la barabara?
Kama walijulishwa basi hakuna cha fidia hapo!! But knowing watendaji kwenye taasisi husika nchini petu, sidhani kama kuna watu walijulishwa mipaka ya mabarabara!
hili halihitaji fidia ni uamuzi tu
Kama tumegeuka China ghafla, yeah, hilo halina shida! Ila kama tunapenda kuwa bound na treaties za ajabuajabu kama ilivyo jitokeza kwenye sanga la Dowans, then someone's azz wud be sued!! And speaking of which, Magufuli is well too aware of that following a saga in Mwanza about a petrol st.