Magufuli: Mwaka 2020 uwe wa kujenga umoja

Magufuli: Mwaka 2020 uwe wa kujenga umoja

Mh. John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania akiwa Chato katika misa siku ya Jumapili ya nne ya Majilio kuelekea Krismas na mwaka mpya, atoa ujumbe wa kipekee kwa wana Chato na Watanzania na kuwatakia sikukuu ya Krismas njema na Mwaka Mpya wa mafanikio, kujenga umoja wetu Watanzania wote, uwe mwaka mpya wa upendo na amani kwa Watanzania wote.

Source: MCL Digital

Uwe mwaka wa Magufuli kubadilika. Anahitaji kusikiliza na kufanyia kazi uchumi wa wananchi wake. Sera zake za uchumi ni mbovu mno na zinaharibu biashara za wana CCM, CHADEMA,CUF , ACT na kila mwananchi kwa ujumla. Watu wanapenda anavyopambana na rushwa lakini ni jukumu lake na ni lazima atengeneza mazingira mazuri ya biashara. Wananchi wasisubiri wanasiasa waseme kwa niaba yao ni jukumu la kila mwananchi kumpelekea huu ujumbe.
 
Mh. John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania akiwa Chato katika misa siku ya Jumapili ya nne ya Majilio kuelekea Krismas na mwaka mpya, atoa ujumbe wa kipekee kwa wana Chato na Watanzania na kuwatakia sikukuu ya Krismas njema na Mwaka Mpya wa mafanikio, kujenga umoja wetu Watanzania wote, uwe mwaka mpya wa upendo na amani kwa Watanzania wote.

Source: MCL Digital
Maigizo+++...+

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UMOJA gani na anaetenda na kujivunia maovu
Huwezi kujenga umoja kama wasiojulikana wataendelea kuwepo na kupewa nguvu.

Huwezi kujenga umoja kama watu wataendelea kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha.

Huwezi kujenga umoja kama watu wataendelea kutazamwa kikanda.

Huwezi kujenga umoja kama Polisi, mahakama na Bunge vitaendelea kutumika kama vyombo vya watu binafsi na CCM.

Huwezi kujenga umoja kama maDC na maRC wataendelea kuwaweka watu korokoroni kwa ubabe, uonevu na kukomoana.

Huwezi kujenga umoja kama utaendelea kuwaona wasio wanaCCM ni raia daraja la pili.

Huwezi kujenga umoja kama Polisi wataendelea kufanya kazi kama kikundi cha kigaidi. Kazi kubwa ya magaidi ni kujenga hofu. Leo polisi badala ya kuwakamata watuhumiwa, wanawateka watuhumiwa. Polisi wamebakia na kazi ya kuwaziba watu na kuwanyima watu haki zao za kikatiba.

Umoja wa kitaifa hauji kwa kauli bali kwa matendo. Mazuri mengi tuliyokuwa nayo zamani, yaliyokuwa yakilitambulisha Taifa letu yamevurugwa awamu hii. Kama hili limegundulika sasa, na kuna dhamira ya kuliondoa, ianze kufanyika kazi katika hayo niliyoyataja. Bila hivyo umoja wetu utaendelea kutetereka zaidi na zaidi, na uchaguzi wa mwakani utaongezea maradufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nazan atajitekebisha ni mwaka wa uchaguzi anatakiwa afiche makucha yake ya simba na chui ,

naona alie mweka kamwambia asijimwambafai atamshusha.
 
Mh. John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania akiwa Chato katika misa siku ya Jumapili ya nne ya Majilio kuelekea Krismas na mwaka mpya, atoa ujumbe wa kipekee kwa wana Chato na Watanzania na kuwatakia sikukuu ya Krismas njema na Mwaka Mpya wa mafanikio, kujenga umoja wetu Watanzania wote, uwe mwaka mpya wa upendo na amani kwa Watanzania wote.

Source: MCL Digital

!?!?!?!?!?!?! am I dreaming?! Nadhani 2020 tutakuwa na wapinzani wengi selo kwani ni mwaka wa uchaguzi.
 
Mh. John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania akiwa Chato katika misa siku ya Jumapili ya nne ya Majilio kuelekea Krismas na mwaka mpya, atoa ujumbe wa kipekee kwa wana Chato na Watanzania na kuwatakia sikukuu ya Krismas njema na Mwaka Mpya wa mafanikio, kujenga umoja wetu Watanzania wote, uwe mwaka mpya wa upendo na amani kwa Watanzania wote.

Source: MCL Digital

Amani, Upendo, Mshikamano.... asante sana your excellency, my president. Hata yanawezekana sana. Prerequisite, yaani hitaji muhimu ni pamoja na HAKI sawa kwa wote kama katiba inavyoainisha na kwa jinsi katiba ile pendekezwa inavyoweza kutupelekea huko. Sasa basi UTEKAJI wa raia utakuwa historia. Police state hamna.
 
Bams,
Mkuu umemaliza yote. Magufuli anachezea. Mungu kwa kujifanya ni mcha mungu na mpenda haki na amani. Wakati yeye Magufuli ndio amevunja amani na demokrasia hataki kukosolewa ameunda vikundi zinazoteka raia kwa kuwatumia baadhi ya watu kama Bashite, Musiba. Magufuli ni amevunja amani ila mungu atamwonyesha Sikh moja
 
Katika ujumbe wake wa Krismasi Askofu DR Bagonza anasema" Kumpenda Mungu huku tukiwatesa na kuwadharau wanadamu ni sawa na ibada ya sanamu na Mungu hawezi kuwa upande wetu hata kama tunaimba kila siku na kula viapo kwa jina lake". Tatizo la bosi maneno yake ni tofauti na vitendo vyake yeye na wasaidizi wake
 
Back
Top Bottom