Magufuli mshahara wako haulipi kodi?!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,013
114,360
Mjomba ametaja mshahara tu sasa tunamkumbusha kutaja analipa kodi bei gani kupitia,si mshahara tu hata posho zisizokoma atupe mchanganuo wa kodi anazolipa.Mimi kamshahara kangu 950,000/= nalimwa 150,000/=,Unasisitiza Kulipa kodi ni uzalendo,uko wapi uzalendo wako
 
Mh. rais halipi kodi kwa mujibu wa kifungu cha 10 cha sheria ya kodi, hata hivyo ukisoma ibara ya 142 ya katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania mshahara pamoja na posho zake, na kiinua mgongo chake ni cha - kisheria.
 
Mjomba ametaja mshahara tu sasa tunamkumbusha kutaja analipa kodi bei gani kupitia,si mshahara tu hata posho zisizokoma atupe mchanganuo wa kodi anazolipa.Mimi kamshahara kangu 950,000/= nalimwa 150,000/=,Unasisitiza Kulipa kodi ni uzalendo,uko wapi uzalendo wako
duh kumbe kumbe mlikuwa mnamaansha kodi sio mshahara wake au mnachomekea tu
 
Back
Top Bottom