Magufuli: Mradi wa flyovers Dar umeishia wapi?

Magufuli: Mradi wa flyovers Dar umeishia wapi?

Joined
Sep 21, 2013
Posts
27
Reaction score
23
Kwa wakazi wa Dar, tuliaminishwa sana kuwa mpaka utawala wa awamu ya nne unamaliza wake tutakuwa na flyovers ubungo na TAZARA, ni dhairi Magufuli ulitudanganya.

Umekuwa ukijisifia sana kuhusu mtandandao wa barabara zilizojengwa lakini nyingi ni za viwango duni mf. Kwenye mradi wa BRT upana wa zile barabara unatia shaka na pia tumeshuhudia barabara zilizojengwa zikianza kuharibika pindi zinapomalizika kujengwa.

Watanzania wa sasa si wa miaka ile, hatudanganywi tena. Tumeamua kufanya mabadiliko
 
Huyu Baba Rafael anajifanya yupo Igunga kukagua makaravat kumbe yupo Mabibo Block H,na kimwana
 
Back
Top Bottom