RASCO BOY
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 428
- 485
Baada ya Jeshi kusomba korosho huko Mtwara na Lindi.. baada ya Serikali kuinunua kwa Bei ya juu.. kwa Mara nyingine tena Reuters wanaripoti kwamba thamani ya korosho isiyobanguliwa Nchini Marekani imepaa kutoka $3.2 ndani ya siku 7 na sasa ni $3.9 mpaka $4.1.
Magufuli mpaka Mwaka 2035
Magufuli mpaka Mwaka 2035