Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,161
Reaction score
801
Ni wakati muhimu katika historian ya mgombea yeye kama ye ye hata akishindwa au akishinda bado anawajibika kuwa mpole na mkweli jukwaani, wanapaswa kuwa mnyenyekevu kwa wapiga kura, wanapaswa kuwa msikivu kwa kuomba aulizwe vijimaswali akate kiu ya wenye kiu ya kupata mtu muadilifu mkali lakn mpole kwao.

Marais wanaowania wanakuwa makinibwanapoongea hotuba zao. zile za Obama bado zinatumika hasa kipindi hki cha smartphone, video clip zitasambaa. ukiwa Rais msanii hujatulia, unakurupuka humpati mtu. watakaokuelewa hakika ni wachaçhe wengi wanakuona mwehu, au mwendawazimu.

Ukiwa rais unabeba heshima zote.

===============
Wakati nchi inakwenda kufanya maamuzi ya msingi na ambayo yatajenga upya mustakabali wa nje yetu kwa miaka mitano ijayo, wengi wetu tumejikita kujadili hoja nyepesi sana na ambazo si kipaaumbele cha nchi kwa sasa!

Kweli Tanzania inahitaji 'push-ups' kututoa hapa tulipo? Kweli Tanzania inahitaji 'mafuriko ya watu kwenye mikutano ya siasa' kututoa hapa tulipo? Kweli Tanzania inahitaji 'siasa za maji' taka kututoa hapa tulipo?

Aliyetuloga kweli ametuweza, tumekuwa wajinga kiasi hiki kweli watanzania...? Shame on us Tanznaians!
 
Si ana PhD huyu mheshimiwa?

Mimi labda nifahamishwe tu, what point was he trying to prove, and why. Basi. Nisaidieni kujua hili.
 
Na akiupata urais mawaziri watapigishwa push-up.. huyu jamaa hatufai hata kidogo.
Badala akomae na sera yeye anakomaa na ufiti.
Ufiti wa nini wakati huelewi kesho?

"Being Tanzanian is not a problem, problem is being under CCM"
 
Kichwa cha jamaa naota sometimes huwa hakiko vizuri kinapata moto na anakurupuka tu Mola MPE busara uraisi hauhitaji mihemko ya kijinga
 
Attachments

  • 1442962588765.jpg
    1442962588765.jpg
    63.4 KB · Views: 2,696
Magufuli hajatulia na ana sifa zisizo na maana, amekuwa akifanya vitu ili kujionyesha yuko fit kiafya lakini anasahau kuwa waTanzania wanahitaji nini! Too low
 
Magufuli hajatulia na ana sifa zisizo na maana, amekuwa akifanya vitu ili kujionyesha yuko fit kiafya lakini anasahau kuwa waTanzania wanahitaji nini! Too low

Huy kaka mambo anayofanya currently yanatia shaka kama mkewe anaplay nafasi yake vizuri! YES ni mwanamke gani anafurahi kuona mume wake aki play such a gigantic drama kwenye public na akijua wazi mwishowe inamvunjia heshima?
 
Watu wanataka maji , umeme, afya bora , elimu bora na ajira.
Hayo mambo ya push up na kudhiaki na kubeza afya za wagombea wengine hayana faida kwetu.
 
Ni wakati muhimu katika historian ya mgombea yeye kama ye ye hata akishindwa au akishinda bado anawajibika kuwa mpole na mkweli jukwaani, wanapaswa kuwa mnyenyekevu kwa wapiga kura, wanapaswa kuwa msikivu kwa kuomba aulizwe vijimaswali akate kiu ya wenye kiu ya kupata mtu muadilifu mkali lakn mpole kwao.

Marais wanaowania wanakuwa makinibwanapoongea hotuba zao. zile za Obama bado zinatumika hasa kipindi hki cha smartphone, video clip zitasambaa. ukiwa Rais msanii hujatulia, unakurupuka humpati mtu. watakaokuelewa hakika ni wachaçhe wengi wanakuona mwehu, au mwendawazimu.

Ukiwa rais unabeba heshima zote
LOWASSA HATA WAMFANYIE MAOMBI HATO WEZA KUPIGA PUSH UP HATA MOJA

12009731_831585376940774_3930244626847154494_n.jpg

12039428_831585543607424_8714086943846259701_n.jpg

11863353_10153453536024504_5409480389151296823_n.jpg
11200796_10153453536094504_53821265391532711_n.jpg

Mheshimiwa Magufuli anaendelea kumtesa Lowassa kila nyanja, leo anapiga "push-ups" mbele ya halaiki ya watu. Huu ni ujumbe tosha kwa Lowassa kuwa Ikulu sio sehemu ya kuchezea.

Haya sasa washabiki wa Ukawa, mleteni Lowassa na yeye atuonyeshe ujasiri huu.
 
Washauri wake ni watu wenye upeo mdogo kama Lusinde, Joseph Msukuma, Bulembo, Makamba, ... utategemea nini zaidi ya utoto huo aliyoonyesha!
UKAWA tunawaambia kila siku, Ikulu sio Hospital ya Wagonjwa. Sasa mleteni Lowassa na yeye apige push ups tuone mwisho wako. Hii ndio habari ya Mjini.
12032954_493529767488716_446508398174792867_n.jpg

LOWASSA HANA UWEZO WA KUPIGA PUSH UPS KAMA HAWA WAZEE WA KAZI
NYIE BEBENI MZIGO WENU KWA HELICOPTER MPAKA KIYAMA YENU OCTOBER 25
 
Hana washauri wazuri! Kama akina Abdallah Bulembo ndo washauri,kuna siku atavua hadi suruali kuonesha kuwa yeye ni mwanaume baada ya kusikia mbona mke wako hatumuuoni kwenye kampeni?
 
Si ana PhD huyu mheshimiwa?

Mimi labda nifahamishwe tu, what point was he trying to prove, and why. Basi. Nisaidieni kujua hili.
Mwanaume wa Kazi habebwibebwi na Helicopter, zaidi ya hapo anaelimu zaidi ya Lowassa wenu bigwa wa kushindwa.

11996900_1635186513425464_6578111360186180559_n.jpg
 
Hana washauri wazuri! Kama akina Abdallah Bulembo ndo washauri,kuna siku atavua hadi suruali kuonesha kuwa yeye ni mwanaume baada ya kusikia mbona mke wako hatumuuoni kwenye kampeni?
Weak people can not be Head of State.

UKAWA tunawaambia kila siku, Ikulu sio Hospital ya Wagonjwa. Sasa mleteni Lowassa na yeye apige push ups tuone mwisho wako. Hii ndio habari ya Mjini.
12032954_493529767488716_446508398174792867_n.jpg
 
Kwanza tambua kuwa,ugonjwa ni siri ya mtu na daktari wake. Pili,ikulu hatuendi kupigana,ikulu ni matumizi ya hekima,busara na maamuzi sahihi,tatu,usimuone mtu anacheka,wengine wanatembea wagonjwa(nikuulize swali),JK alienda marekani kwa ajili ya tezidume alionekanaje? Mdhaifu au kama mtu mwenye afya? Nne,sio kila afanyalo Obama lazima aigwe,Obama ni nani? Akiwa shoga,basi na yeye anakuwa shoga kisa Obama ni shoga?. Tano,huko ni kuishiwa sera na kutumia afya ya mtu kama sifa ya kupata urais.
Weak people can not be Head of State.

UKAWA tunawaambia kila siku, Ikulu sio Hospital ya Wagonjwa. Sasa mleteni Lowassa na yeye apige push ups tuone mwisho wako. Hii ndio habari ya Mjini.
12032954_493529767488716_446508398174792867_n.jpg
 
Vijna wa Tanzania ni mbumbumbu kama nyumbu. Hawajui wanachokitaka kutoka UKAWA. Ingekuwa Ukawa ya Dr Slaa na akina Lissu na Halima Mdee na John Mnyika ningewaelwa. Lakini unasema unataka mabadiliko kwa kuongozwa na Lowassa na Sumaye, ambao kwa miaka 12 ndiyo walikuwa wanasimamia utekelezaji wa sera za CCM. Huo ni upumbavu tu
 
Mwanaume wa Kazi habebwibebwi na Helicopter, zaidi ya hapo anaelimu zaidi ya Lowassa wenu bigwa wa kushindwa.

11996900_1635186513425464_6578111360186180559_n.jpg

Samahani, umejibu swali?

Labda kwa kukukumbusha, ningependa kujua motive behind hizo push ups. Kwanini amezifanya na anataka kutuaminisha nini. Nahitaji kujua tu nisije nikakurupuka kuongea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom