Magufuli: Kuna mgombea amesomea maigizo

Magufuli: Kuna mgombea amesomea maigizo

Reucherau

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
756
Reaction score
1,740
NI KATIKA KIKAO CHA UVCCM DAR ES SALAAM JANA
Dk Magufuli alisema baadhi ya wapinzani ni waigizaji wakubwa ambao wamesomea uigizaji na wataufanya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kutawaliwa na mbwembwe na maigizo mengi.

Alisema kazi kubwa ya CCM ni kukabiliana na mbwembwe na maigizo hayo ili kuyashinda.

Magufuli alisema CCM siyo watu wa matumaini, bali ni watu wa maendeleo na safari ya uhakika.

Alisema wapinzani wa CCM sasa wameanza kunukuu kila kitu hasa nyimbo za chama.

Aliwaambia vijana hao: "Katika mchakato huu na katika uchaguzi wa mwaka huu kuna mbwembwe nyingi, kuna mbinu nyingi na kuna maigizo mengi hasa kwa sababu wako wengine walisomea maagizo. Kwa hiyo tuna wajibu wa pamoja kuyashinda haya maigizo."

CHANZO: Mwananchi 17 .08. 2015)
 
NI KATIKA KAKAO CHA UVCCM DAR ES SALAAM JANA

Aliwaambia vijana hao: “Katika mchakato huu na katika uchaguzi wa mwaka huu kuna mbwembwe nyingi, kuna mbinu nyingi na kuna maigizo mengi hasa kwa sababu wako wengine walisomea maagizo. Kwa hiyo tuna wajibu wa pamoja kuyashinda haya maigizo.”
source (mwananchi 17 .08. 2015)
 
Watoto kadhaa!
 
NI KATIKA KAKAO CHA UVCCM DAR ES SALAAM JANA
Dk Magufuli alisema baadhi ya wapinzani ni waigizaji wakubwa ambao wamesomea uigizaji na wataufanya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kutawaliwa na mbwembwe na maigizo mengi.

Alisema kazi kubwa ya CCM ni kukabiliana na mbwembwe na maigizo hayo ili kuyashinda.

Magufuli alisema CCM siyo watu wa matumaini, bali ni watu wa maendeleo na safari ya uhakika.

Alisema wapinzani wa CCM sasa wameanza kunukuu kila kitu hasa nyimbo za chama.

Aliwaambia vijana hao: "Katika mchakato huu na katika uchaguzi wa mwaka huu kuna mbwembwe nyingi, kuna mbinu nyingi na kuna maigizo mengi hasa kwa sababu wako wengine walisomea maagizo. Kwa hiyo tuna wajibu wa pamoja kuyashinda haya maigizo."
source (mwananchi 17 .08. 2015)
Mbona yeye kasomea kutengeneza Gongo kwakutumia mabua ya korosho naona na yeye dose imemkolea ipasavyo mpaka ameanza kupanic hajui amebakiza sindano tisa kukamilisha dose kamili?
 
NI KATIKA KAKAO CHA UVCCM DAR ES SALAAM JANA
Dk Magufuli alisema baadhi ya wapinzani ni waigizaji wakubwa ambao wamesomea uigizaji na wataufanya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kutawaliwa na mbwembwe na maigizo mengi.

Alisema kazi kubwa ya CCM ni kukabiliana na mbwembwe na maigizo hayo ili kuyashinda.

Magufuli alisema CCM siyo watu wa matumaini, bali ni watu wa maendeleo na safari ya uhakika.

Alisema wapinzani wa CCM sasa wameanza kunukuu kila kitu hasa nyimbo za chama.

Aliwaambia vijana hao: Katika mchakato huu na katika uchaguzi wa mwaka huu kuna mbwembwe nyingi, kuna mbinu nyingi na kuna maigizo mengi hasa kwa sababu wako wengine walisomea maagizo. Kwa hiyo tuna wajibu wa pamoja kuyashinda haya maigizo.
source (mwananchi 17 .08. 2015)

Naona kaanza siasa chafu mwenyewe na hakuna aliye muonya any way stay tune
 
Freedom is coming tomorrow tumechoka wakoloni weusi ccm
 
Kitu gani kiliwafanya mmpe uwaziri Mkuu? Hiyo sanaa ya maigizo kasomea akiwa CHADEMA?

Mtakubali tu mwaka huu. Shame on you!.
 
Nadhani vijana wa bongo movies nao pia wamemsikia. Halafu pia aliyemteua muigizaji kuwa Waziri Mkuu pia amesikia. Wabunge waliopitisha jina la muigizaji kuwa Waziri Mkuu nao wamesikia. Maprofesa na madokta wanaofundisha masomo hayo vyuo vikuu nchini wamesikia. Mwisho wapiga kura wote nchini ambao ni wanafunzi waliosomea, wanaosomea na walioomba kusomea fani hiyo wamesikia!
 
Na bado tutaigiza mpaka tarehe 25, mwisho wa igizo CCM chali
 
Naona kaanza siasa chafu mwenyewe na hakuna aliye muonya any way stay tune

huyu anaanza mdomo wakati ana madudu kibao

1.Kamzalisha mwanafunzi wa Geology pale UD anaiwa Sundi
2.Kamuuzia Sundi nyumba ya serikali kwa 170,000/= TZS
3.Akiwa waziri alikuwa analala mabibo Hostel kwa Sundi bila kificho
4.Akiwa waziri kamjengea kimada nyumba Kunduchi Mtongani na mkandarasi ni kampuni ya SKOL ( 10% kwa kuwapa kazi labda)
5.Akiwa waziri kaitia hasara serikali ya 3bilioni kwenye kesi ya kukamata meli ya samaki
6.Akiwa waziri kabainika kwenye report ya CAG ya mwaka huu kuwa 250bilioni hazijulikani ziliko wizarani kwake
7.Akiwa waziri kampuni ya Aashlef iligoma kumpa 10% wakati wa ujenzi wa barabara ya iringa-dodoma na akiifuuza kazi.
8.Akiwa waziri alionekana kwenda samunge kunywa kikombe kwa maradhi ambayo hayajulikani haswa anaumwa nini na hili ni hatari kwa taifa.

mengine yataendeleeeaaaa
 
Watanzania wa Leo hatudanganyiki . Lowassa forever.

Usiseme hamdanganyiki sema mmeshachagua wa kuwadanganya, na kwa muonekano wake wewe actor mamvi kishawashika masikio. Siasa zote maigizo tu ili mradi muwaweke wanaowafanyia shoo madarakani utajifunza siku moja.
 
Ikiwa mtu anafanya maigizo na unafahamu anafanya maigizo lakini bado unapanga kuyakabili maigizo hayo hayo nani hapo katoka nje ya reli?

For a presidential candidacy Magufuli bado anacheza chini ya kiwango.
 
  • Thanks
Reactions: bht
CCM wanatapatapa. Kila kitu kinafanyika sasahv,kuzindua mradi wa magari yaendayo kasi,Rais Kuagwa na "shirikisho la wasanii" Rais kuagana na wafanyakaz wa wizara ya Ujenzi? why Ujenzi na sio fedha,Nishati na madini au Wizara ya Mali asili na utalii? Ni wazi "Haya ndo maigizo" Pumbaf zao wataisoma namba this tym.
 
Magu anatia huruma! Yote kwa yote kipyenga kikipulizwa hataikumbuka ilani ya chama chake manake atakuwa anacheza midundo ya ukawa.
 
Back
Top Bottom