Magufuli kuita CV za ma RC na DC nchi utaiendesha

Kinondoni mkuu

Ahaaaaa huyo jamaa tunamjua vizuri.Yeye kazi yake Kutukana wazee waliotukuka katika utumishi wa umma (Rejea matusi yake kwa mzee Warioba) na pia kukuza vipaji vya wasanii, kazi ambayo alitakiwa awaachie akina Madame Ritha wa Bongo star search.Kwa kifupi huyo jamaa hana CV nzuri ya kuwa DC kwani kiukweli ameiingiza Kino chaka!
 
RC na DC ni watu wanaotakiwa kuwasimamia wataalam ambao wengi ni wasomi sana hivyo kuna umuhimu na wao kuwa na elimu ya kutosha haiwezekani DC awe Darasa na Saba au Form 4 amsimamie Mkurugenzi mwenye masters hapo ataibiwa na kudanganywa sana

Ndiyo ilivyo, halafu unakuta DC standard seven ana weka kibesi / kutoa instructions kwa DED kama mototo mdogo, wa kweli ni kudhalilishana.
 
RC na DC ni watu wanaotakiwa kuwasimamia wataalam ambao wengi ni wasomi sana hivyo kuna umuhimu na wao kuwa na elimu ya kutosha haiwezekani DC awe Darasa na Saba au Form 4 amsimamie Mkurugenzi mwenye masters hapo ataibiwa na kudanganywa sana

Umeonge pwenti ya maana sana aiseee
 
Aangalie na CV za Mahouse girl wote. Maana hawakidhi mahitaji yetu.... Teh he teh he teh he he he
 
Magufuli safi sana, fanya kazi baba pia pitia wakurugenzi wa wilaya zote na ma-MD's.....maana wengi hawapendi kazi bali wala rushwa na yeyote anayekula rushwa na kuchukia kazi ni msanii. Kama watapatikana watu feki basi wanyongwe ili kulisafisha taifa kwa kutoa mfano. Popote duniani mfanyakazi wa umma lazima awe scrutinized.
 
Wakuu Wa Wilaya Na Mikoa Bado Wapo Madarakani Mpk Pale Rais Mpya Atakapochagua Tena, Kwa Kuwaacha Haohao Au Kubadilisha. Hivyo Ukitaka Kujua *CV* Zao Kwanini Usimuulize Rais Aliyewachagua Mbn Yupo? Kwmb Yeye Alitumia Vigezo Gani Kuteua Nafasi Izo.
 
Back
Top Bottom