Magufuli kazi anayo

Asiposhinda Magufuli, atashinda nani Lowassa, CHADEMA au UKAWA?
 
Kwaheri ccm na watu wake.. Tuliwapenda zaidi ila ufisadi uliwapenda zaidi.
 
😅😂😂😂😂
Nimeikuta mahali


UKIBISHA UNA MATATIZO

Ndani ya CCM alipata wadhamini 870,000.

Ndani ya CHADEMA amepata wadhamini 1,674,377

Jumla ya wadhamini (wanachama) ni 2,544,377.

Hao ni wale wenye kadi za vyama vya siasa waliojitokeza kumdhamini.

CUF na NCCR mageuzi kwa ujumla wao wana wanachama zaidi ya millioni 3.

Ukiingeza hapo unapata kura zaidi ya millioni 5 hivyo kuzidi idadi aliyoshinda JK uchaguzi uliopita.

Nimejifanya kama nimeyasahau makundi kama 4u movement, team Lowassa, L4P, Lowassa comred n.k ambao jumla yao ni zaidi ya watu millioni 7.

Hahahahaha, raha mtupu......

Wakijaribu kufunga kwa goli la mkono na sisi atadaka mchezaji ambae sio golikipa.

Safari ya matumain, inaendelea
 
magufuli iv kwani yupo? amekufa kama raisi wake alivokufa! ccm ni shiiida ndugu!
 
Ukawa wamekomaliaaa media mediaaa mediaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mediaaaa .nani kawaloga nyie ukawa.kila kitu muda wake nyie subirini mda ufike.mnachezewa fair play hamtaki sjui mnataka nn
 
Nimeikuta mahali UKIBISHA UNA MATATIZO Ndani ya CCM alipata wadhamini
870,000. Ndani ya CHADEMA amepata wadhamini
1,674,377 Jumla ya wadhamini (wanachama) ni
2,544,377. Hao ni wale wenye kadi za vyama vya
siasa waliojitokeza kumdhamini. CUF na NCCR mageuzi kwa ujumla wao
wana wanachama zaidi ya millioni 3. Ukiingeza hapo unapata kura zaidi ya
millioni 5 hivyo kuzidi idadi aliyoshinda
JK uchaguzi uliopita. Nimejifanya kama nimeyasahau makundi
kama 4u movement, team Lowassa, L4P,
Lowassa comred n.k ambao jumla yao ni
zaidi ya watu millioni 7. Hahahahaha, raha mtupu...... Wakijaribu kufunga kwa goli la mkono na
sisi atadaka mchezaji ambae sio golikipa. Safari ya matumain, inaendelea
 


Akiongea mnapiga kelele anafanya kampeni kabla ya muda. Akikaa kimya, hajui afanye nini!
 
kwakweli cjui ana vision gani maana anachokijua tu ni "sitawaangusha; niaminini; sitabadilika; ntaendeleza aliyoyafanya raisi; nk" Ana malengo gani binafsi?

Hatupaswi kuponda bali kuchanganua ukweli.
 
huyu makomeo ajielewi kabisa,Aliulizwa vipaumbele akasema hajui bali anatumia ilani.Shame on you Mapombe.
 
Mleta mada umeandika haya ukiwa umepakatwa? Yaani waziri mwandamizi unasema hajajiandaa? Kujiandaa kwa lipi? Mbona hao waliojiandaa wametoswa? Tanzania hatuhitaji mtu anayetaka madaraka kwa udi na uvumba. Tunahitaji mtu tutakayemtuma na akatumika

Ndio maana mlimkata mwanaume Lowassa maana mnamjua kua hatumiki bali anajituma mwenyewe.
 
Jifarijini tu ila Magufuli ni Raisi Mtarajiwa wa awamu ya 5
 
Jifarijini tu ila Magufuli ni Raisi Mtarajiwa wa awamu ya 5.
 
JF kama ndo ingekuwa inatoa raisi basi EL angekuwa keshaapishwa.
Wananchi kule waliko ndo wataamua who is the next President of JMT
 

​Endeleeni KUJIFARIJI!
 
Yaani kwakweli makomeo ni wa kuhurumia sana hana lolote la maana zaidi ya sitawaangusha

magufuri walimkurupua hakuwa tiyari bora angemwacha ili lowassa akiwa rais ampe ata kakitengo thatha ona mtu alishazoea kuwa waziri afu analoose kila kitu. Pole yake
 
Porojo hizo magufuli anafanya kwa vitendo sio sana kama fani zemu
 
Mleta mada umeandika haya ukiwa umepakatwa? Yaani waziri mwandamizi unasema hajajiandaa? Kujiandaa kwa lipi? Mbona hao waliojiandaa wametoswa? Tanzania hatuhitaji mtu anayetaka madaraka kwa udi na uvumba. Tunahitaji mtu tutakayemtuma na akatumika
Lizaboni huonagi aibu yaani na uzushi woote juu ya Mnyika kuhama chama bado upo hapa!!! Hamna ujinga zaidi ya mwanaume kuwa mbea na mzushi kama wewe!! Yaani nakufananisha na mashangingi wa mkekani kule tandale au yale majimama yanayoendeka kitchen party na baikoko.

Mwanume wee unapaswa uvalishwe kanga na upakwe ina upitishwe ubungo hadi posta ukipigiwa madebe!!

Huwezi kuwa mwanaume wewe labda umening'iniza mapeazi!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…