Magufuli kauli hizi (nikiwa Rais, haki ya MUNGU, wataona, nitawanyoosha) Sio za kiongozi

kkarumekenge

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
1,708
1,026
Ingawa kutokana na baadhi ya watanzania kukata tamaa sasa ati CCM inadai wanataka kiongozi 'mkali' mpaka Magufuli mwenyewe kujisahau na kufikia kuona hiyo ni sifa ya uongozi, tuelewe Magufuli alitakiwa kuwa mtendaji chini ya mtu mwingine.

Nawaambia, hapatakuwa na tofauti yoyote kati ya Magufuli na Mrema. Wote hawa ni wakurupukaji, hawatumii hekima na busara ambazo ndo tunu katika uongozi.

Anapungukiwa sifa kubwa sana katika uongozi, HEKIMA. Na ati sifa nyingine ya Magufuli ni tingatinga (kwa mujibu wa Kikwete), inasikitisha sana. Tusubiri...
 
Du! Tatizo la kuongea kabla ya kufikiri ndo linamwandama Mwagufuli!! Anazan kwamba sisi ni watoto wake! Eti "haki ya Mungu" yaan anaongea kama anaongea na matoto yake! Raisi gani huyu sasa, bora hata Hashim Rungwe mara elfu!!
 
nilimsikia he seems to be desperate without any reason,baada ya uchaguzi itabidi apelekwe nje kwenda kuchekiwa maana hata ongea yake tangu aone mzee wa mvi bado yuko gado ameanza kukata tamaa,walitegemea mzee wa mvi hatamaliza salama kampeni,so wamebaki kutafuta namna ya kuwatishia watu kutochunga kura,hapa mpaka kieleweke tuko gado na tutalala vituoni kuchunga kura,kama ni vita na iwe vita hatutakubali
 
Ndugu unaifahamu vita kweli au umeishia kuiona kwenye video........mi mwenyewe ccm inanichafua,,,,ila naombea itoke kwa amani..machafuko ni kitu mbaya sana..
 
Huyu ndio tunamtaka.tumechechelewa sana.

Hah hah haaaaaaaaa!!! AITII Masaki, mnakopi kila kitu? Yaani unadesa hata jina, heh heeee. Kosa lingine la magamba walifikiri wakiweka hawa desperate youths to campain on sosho midia itawasaidia, kumbe imekula kwao. Hawana upeo kabisa, hila tupu. Kumbe wanamabadiliko hushiriki katika mijadalanya kwenye mitandao kwa uhalisia na si kufungua maakaunti kisha kuanzisha mada na kujijibu wao kwa wao. Kujitekenya. ........ Three days to go! Labda mtegemee bao la mkono.
 
Ingawa kutokana na baadhi ya watanzania kukata tamaa sasa ati CCM inadai wanataka kiongozi 'mkali' mpaka Magufuli mwenyewe kujisahau na kufikia kuona hiyo ni sifa ya uongozi, tuelewe Magufuli alitakiwa kuwa mtendaji chini ya mtu mwingine. Nawaambia, hapatakuwa na tofauti yoyote kati ya Magufuli na Mrema. Wote hawa ni wakurupukaji, hawatumii hekima na busara ambazo ndo tunu katika uongozi. Anapungukiwa sifa kubwa sana katika uongozi, HEKIMA. Na ati sifa nyingine ya Magufuli ni tingatinga (kwa mujibu wa Kikwete), inasikitisha sana. Tusubiri...

Magufuli akiwa raisi Ikulu parking za ikulu zitajaa baisikeli ja bagosha
 
Ataweza kuanza na waliomchomeka hapo na familia zao. Hizi "haki ya Mungu" anazozitoa kwenye majukwaa ni dalili za mtu mwongo na mnafiki
 
Watakiona akina nani mbona, mbona sentenso inaelea juuu juu? Inabidi iwe kamili ili tujajadili vyema.
 
Ndugu unaifahamu vita kweli au umeishia kuiona kwenye video........mi mwenyewe ccm inanichafua,,,,ila naombea itoke kwa amani..machafuko ni kitu mbaya sana..

Wacha hiyo vita ya kujitakia ianzishwe na magamba. Watakaobaki wataheshimiana. ALGERIA walipigana miaka ya '90s, na sasa waliobaki wameshikishana adabu - heshima iko. We have nothing to lose, ndiyo maana tuko tayari kuwachinja magamba 25/10. Wao wanahofu kwa kuwa kwa ubinafsi wao wamejililbikizia fortunes.
 
Huyu ndio tunamtaka.tumechechelewa sana.

Mkuu hatujachelewa yaani hapa ndio mahala pake maana JK alivyoshughulikia masuala ya mafuta na gesi mafisadi ndio wanaitaka nchi kwa namna yoyote ile sasa inabidi tumpate raus wa kuingia mwenyewe sehemu husika na kusimamia na ambae atakemea rushwa na ufisadi kwa matendo. Hapa ndipo ninapoikubali CCM wanajua kupangilia mambo kama dola kwa wakati huu huyu atafaa huku wanamuandaa mwingine safi kabisa CCM
 
Kwa kweli Maapizo ya Magufuli yametudhalilisha wakristo! Mtu anayesaka uongozi mkubwa wa Taifa la Mungu hawezi kuwa wa aina ya huyu kujiapiza hadharani. Pia amedhalilisha viongozi wa dini yake na ni dalili Hana maadili ya kidini.
Tena ameenda mbali mpaka kudhalilisha haki ya mtu mbele ya mahakama na pia mahakama yenyewe. Huyo mgombea wa ccm achunguzwe akili.
 
Ingawa kutokana na baadhi ya watanzania kukata tamaa sasa ati CCM inadai wanataka kiongozi 'mkali' mpaka Magufuli mwenyewe kujisahau na kufikia kuona hiyo ni sifa ya uongozi, tuelewe Magufuli alitakiwa kuwa mtendaji chini ya mtu mwingine. Nawaambia, hapatakuwa na tofauti yoyote kati ya Magufuli na Mrema. Wote hawa ni wakurupukaji, hawatumii hekima na busara ambazo ndo tunu katika uongozi. Anapungukiwa sifa kubwa sana katika uongozi, HEKIMA. Na ati sifa nyingine ya Magufuli ni tingatinga (kwa mujibu wa Kikwete), inasikitisha sana. Tusubiri...

huyo ndo tingatinga tunayemtaka No kudeka No mahaba.....!!!!!!!!!!!!!!
 
Ingawa kutokana na baadhi ya watanzania kukata tamaa sasa ati CCM inadai wanataka kiongozi 'mkali' mpaka Magufuli mwenyewe kujisahau na kufikia kuona hiyo ni sifa ya uongozi, tuelewe Magufuli alitakiwa kuwa mtendaji chini ya mtu mwingine.

Nawaambia, hapatakuwa na tofauti yoyote kati ya Magufuli na Mrema. Wote hawa ni wakurupukaji, hawatumii hekima na busara ambazo ndo tunu katika uongozi.

Anapungukiwa sifa kubwa sana katika uongozi, HEKIMA. Na ati sifa nyingine ya Magufuli ni tingatinga (kwa mujibu wa Kikwete), inasikitisha sana. Tusubiri...

Ndo umefika mwisho wa kufikiri hapo? Duh! Aisee uko dense sana.
 
Back
Top Bottom