Magufuli katika selfie huko bondeni

Magufuli katika selfie huko bondeni

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
11,660
Reaction score
11,664
IMG_20190525_181731.JPG


Presidential selfie
 
Yaani jiwe ni bonge la kilaza asiye jiamini na hasa zinapikuja issue za kimataifa, yaani imebidi ambebe mkwere kama ‘assistant’ ili mambo yasi mwendee kombo? daa yaani kazi kweli kweli
Nimeona amefanya vema sanaa. JK ana exposure ya kimataifa.
 
Nimeona amefanya vema sanaa. JK ana exposure ya kimataifa.
Jk aliipata wapi hiyo exposure na jiwe anaikosaje au ataipata lini? wakati anaingia madarakani aliambiwa mkwere ampe hand over na ‘induction’ ya namna ya kuendesha mambo as per procedures lakini kwa u ‘too much know ‘ wake akakataa wakati jambo hili hata marekani huwa yafanyika, sasa yanamkuta!
 
Hivi nani mwenye taarifa ya mchimbaji mdogo wa madini aliepata almasi kubwa huko kishapu shinyanga
 
Kwanini mkuu
Kuna wazulu wanafanya kazi za ajabu alafu limtu kutoka sijui Malawi linafaidi nchi yake daah! Ndio maana wanakuwa na roho mbaya wanauwa wanaokuja kusaka maisha nchini mwao.

Sijui ni utahira wa wazulu sijui ndio ubishololo sielewi nchi nzuri kama ile unaishi maisha ya ajabu 😧
 
Back
Top Bottom