CCM imeanza kuhubiri uzalendo chini ya mwavuli Wa RAIS magufuli ingawa kwa uzoefu wangu ni asilimia ndogo ya 0.0000001% ya wanachama Wa chama cha mapinduzi ambao ama wana uchungu na rasilimali za nchi au wanalinda Mali zetu.
Sasa Magufuli kachukuwa hata kama Rais, vipi chama kinachukuwa hatua gan dhidi ya wanachama wake ambao kila skendo wamekuwa wakitajwa kuwa majizi husika katika wizi Wa Mali za umma?
Au ndio zile zile danganya Toto, mnajifanya mko began kwa began na Rais kumbe nyie ndio majizi au wafadhili Wa majizi?