Kila siku zinavyoendelea anazidi kudhoofika na harakati zake sio zile za mwanzo ,amehemewa na sasa tunaona ndani ya kichaka wanatokeza mmoja mmoja kumnadi kaanza Mkapa mara kazuka Kikwete ,mara kaibuka Makamba kuna mmoja yule kafupi kana udini udini yule anhaa Mwinyi karibu bado anapima upepo.
CCm oyee ,ha ha haa mmefulia !
Umeshamaliza kuandika au ni Live na hivyo tusubiri Updates!!?
Dogo kwa Taarifa yako, ukiona mtu kaenda kwenye mkutano CCM hasa hasa akiwa kavaa share ya chama ujue huyo ni kura halali ya Magufuli. Kwenye mikutano ya lowasa kura zake huenda hata nusu ya wahudhuriaji isifike. Hivyo ndiyo CCM wanafanya kuhesabu kura zao kabla hata hazijapigwa.
Kujitekenya na kucheka ndio huku. wanasombwa hao.Dogo kwa Taarifa yako, ukiona mtu kaenda kwenye mkutano CCM hasa hasa akiwa kavaa share ya chama ujue huyo ni kura halali ya Magufuli. Kwenye mikutano ya lowasa kura zake huenda hata nusu ya wahudhuriaji isifike. Hivyo ndiyo CCM wanafanya kuhesabu kura zao kabla hata hazijapigwa.
Magufuli yupo imara kama simba na anajiandaa kuapishwa baada ya kushinda kwa kishindo. Hizi cosmetics za kisiasa haziwezi kumnyima Dr/PhD usingizi.