johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,082
- 164,406
Katika teuzi za level ya mkoa na wilaya tumeshuhudia mabadiliko makubwa.Ingekuwa ni engine hapa imefanyika overhaul kule kwa mawaziri tungesema half engine.Kumbuka pale bungeni halmashauri ziliitwa mchwa na hata uwepo wa maDC haukuonyesha tija yoyote kwani wengi wao waliutumia kama ngazi ya kutafutia ubunge.Sasa Rais amefanya teuzi sahihi kwa wakati muafaka.Wapo wanaolalamika kwamba ameteua makada,niwaambie tu ni heri kada atakayedhibitiwa na serikali kuliko wanunua vyeo wanaodhibitiwa na mabwanyenye.All in all ktk safari ya mabadiliko vikwazo lazima vitakuwepo MIMI namuomba Mungu azidi kuirutubisha NIA NJEMA ya Rais wetu na hatimaye tuipate Tanzania ya Viwanda.Kuna wakati wa siasa na wakati wa kazi hizi ni nyakati mbili tofauti,ahsante.