Magufuli hii nimeipenda

In LOVE With my Signature.
 
Full maigizo,unapotutangazia eti ukatwe milioni sita kwenye mshahara ambao hatuujui ni shilingi ngapi,hapo ndo kwa wenye uelewa hekima inasema Noooo!!!
 
Siku ukiamka usingizini ndo utagundua kuwa kuna mgombea urais aliahidi kutoa elimu bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne na alipoingia ikulu haikupita miezi mitatu akatimiza ahadi iyo..!!
 
Full maigizo,unapotutangazia eti ukatwe milioni sita kwenye mshahara ambao hatuujui ni shilingi ngapi,hapo ndo kwa wenye uelewa hekima inasema Noooo!!!
Watu wanapochangia kwenye harambee huwa wanasema na vipato vyao?
 
Kuna watu ni mabingwa wakulaumu mkuu..
 
Watu wanapochangia kwenye harambee huwa wanasema na vipato vyao?
Unajua nafasi ya Rais wewe.una hata idea ya mshahara wake ni kiasi gani?.Kama unavijua hivyo vitu viwili,acha kumlinganisha Rais na hao wajumbe wa nyumba kumi.Na kama huyajui hayo mambo mawili,kaa kimya!
 
Kwani mishahara Yao ni Sh ngapi . Tunaomba kila mwez mtuletee details zinazoonesha mishahara Yao imekatwa na salary sleep zao . Manake kuna budget imetengwa kwa ajili ya Elimu ikiwa pamoja na ujenz wa shule. Hiyo hela ya budget zinafanya kaz gani?
Kwa nini msaada uwe kwa Dar es salaam tu ,
 
Unajua nafasi ya Rais wewe.una hata idea ya mshahara wake ni kiasi gani?.Kama unavijua hivyo vitu viwili,acha kumlinganisha Rais na hao wajumbe wa nyumba kumi.Na kama huyajui hayo mambo mawili,kaa kimya!
Yule mzee wenu wa kutetemeka naye umemuweka kwenye hili kundi la wajumbe wa nyumba kumi? Manake na yeye alikuwa mstari wa mbele kwenye harambee za makanisani..! Kwani ukishajua mshahara wa rais ndo iweje? Utampangia kiasi cha kuchangia?
 
Ni wangapi wenye moyo huu wa kuto,,,,,,,,
Hata biblia inasema ukitoa sadaka kwa mkono wa kulia basi hakikisha mkono wa kushoto haujui umetoa kiasi gani. Sasa yanini kutangaza kama ni kujitolea. Alafu lazima ujue kwamba suala la kuboresha elimu lipo chini ya serikali ambayo tunailipa kodi. Hizo hela hazitoki mifukoni mwao. Jiongeze
 
Aliyesema hii ni sadaka ni nani....huu ni mchango sio sadaka
 
Duh mshahara kukatwa milion sita na bado mtu ana survive?!
Au ni zaid ya milioni kumi
 
Kwani huo mshahara wake Magufuli anafanyia nini wakati kila kitu anapata bure hata kodi halipi, hata angetoa wote ni sawa tu.. Iko poa lkn siyo jambo kubwa la kujisifia sana
 
Na kodi tunazolipa zinaenda wapi?

Enzi za ujamaa zimekwishapitwa na wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…