Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,517
- 1,044
Rais John Pombe Magufuli amekubali kukatwa kiasi cha shilingi milioni sita kutoka katika mshahara wake ili zielekezwe kwenye ujenzi wa madarasa ya shule mpya hapa jijini Dar es Salaam. Pia Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa watakatwa Sh milioni sita kila mmoja ambazo zitapelekwa katika jukumu hilo.
Wakati huo huo Mawaziri wote wa serikali ya awamu ya tano watakatwa kiasi cha shilingi milioni moja kila mmoja kutoka kwenye mishahara yao ili kufanikisha hili.
Wakati huo huo Mawaziri wote wa serikali ya awamu ya tano watakatwa kiasi cha shilingi milioni moja kila mmoja kutoka kwenye mishahara yao ili kufanikisha hili.