Magufuli hatashinda Urais hata JK analijua hilo

Special agent.

Senior Member
Aug 25, 2015
101
71
Lazima Tushinde, tutashinda hata kwa bao la mkono, hizo ni kauli za CCM ambazo kwa mtu mwenye akili zake timamu anajua fika hawa watu wanaweweseka na tayari hakuna ushindi kwao.

Lowassa amewakalia kooni na ndo maana ili kutoa aibu wanatembea na Diamond ili kupata mkusanyiko wa watu,kama Magufuli akijaribu kutembea peke yake bila Diamond atadharirika sana, hakuna ushindi kwa CCM mwaka huu, huu ni mwaka mgumu sana kwa taifa la Tanzania.

Ni mwaka wa machozi na damu, mkuu wa kaya ameapa hataikabidhi ikulu kwa mpinzani, viapo hivyo ni dalili ya kutambua ukweli kuwa kaelemewa.

Lowassa naye kaapa hatakubali kuporwa ushindi, hakika ni mwaka mgumu kwa taifa la Tanzania, kuna tetesi wakuu wa usalama wameamrishwa kufanya kila wawezalo kuhakikisha wanamdhibiti ipasavyo Lowassa.

Magufuli naye anaujua ukweli mzito kuwa hatashinda, watanzania wamekichoka hiki chama, Magufuli kaivua nguo serikali ya JK wakati wa uzinduzi wa kampeni pale alipohoji kwanini nchi haina hata kiwanda cha kusindika nyama na samaki? miaka 54 ya CCM ikulu tusubiri.
 
lazima tushinde,tutashinda hata kwa bao la mkono,hizo ni kauli za ccm ambazo kwa mtu mwenye akili zake timamu anajua fika hawa watu wanaweweseka na tayari hakuna ushindi kwao,lowassa amewakalia kooni na ndo maana ili kutoa aibu wanatembea na diamond ili kupata mkusanyiko wa watu,kama magufuli akijaribu kutembea peke yake bila diamond atadharirika sana,hakuna ushindi kwa ccm mwaka huu,huu ni mwaka mgumu sana kwa taifa la tanzania,ni mwaka wa machozi na damu,mkuu wa kaya ameapa hataikabidhi ikulu kwa mpinzani,viapo hivyo ni dalili ya kutambua ukweli kuwa kaelemewa,lowassa naye kaapa hatakubali kuporwa ushindi,hakika ni mwaka mgumu kwa taifa la tanzania,kuna tetesi wakuu wa usalama wameamrishwa kufanya kila wawezalo kuhakikisha wanamdhibiti ipasavyo lowassa,magufuli naye anaujua ukweli mzito kuwa hatashinda,watanzania wamekichoka hiki chama,magufuli kaivua nguo serikali ya jk wakati wa uzinduzi wa kampeni pale alipohoji kwanini nchi haina hata kiwanda cha kusindika nyama na samaki? Miaka 54 ya ccm ikulu tusubiri

watashinda na njaa c uraisi.............
 
Acha pororojo jiandae kupiga kura ifikapo October, 25. kuhusu nani atashinda waachie tume ya uchaguzi
 
Lazima Tushinde, tutashinda hata kwa bao la mkono, hizo ni kauli za CCM ambazo kwa mtu mwenye akili zake timamu anajua fika hawa watu wanaweweseka na tayari hakuna ushindi kwao.

Lowassa amewakalia kooni na ndo maana ili kutoa aibu wanatembea na Diamond ili kupata mkusanyiko wa watu,kama Magufuli akijaribu kutembea peke yake bila Diamond atadharirika sana, hakuna ushindi kwa CCM mwaka huu, huu ni mwaka mgumu sana kwa taifa la Tanzania.

Ni mwaka wa machozi na damu, mkuu wa kaya ameapa hataikabidhi ikulu kwa mpinzani, viapo hivyo ni dalili ya kutambua ukweli kuwa kaelemewa.

Lowassa naye kaapa hatakubali kuporwa ushindi, hakika ni mwaka mgumu kwa taifa la Tanzania, kuna tetesi wakuu wa usalama wameamrishwa kufanya kila wawezalo kuhakikisha wanamdhibiti ipasavyo Lowassa.

Magufuli naye anaujua ukweli mzito kuwa hatashinda, watanzania wamekichoka hiki chama, Magufuli kaivua nguo serikali ya JK wakati wa uzinduzi wa kampeni pale alipohoji kwanini nchi haina hata kiwanda cha kusindika nyama na samaki? miaka 54 ya CCM ikulu tusubiri.
Magufuli atashinda hata wewe unalijua hilo. Edward Lowassa hatashinda hata wewe unaijua hilo mzee
 
Haipo hiyo kitu. Mabadiliko hayawezi kuletwa na CCM B
CCM B Mimi nimewastukia ni walafi tu wanaoitafuta Ikulu kwa maslahi binafsi, ila wameungana na watu wenye chuki na CCM kuwa wanaiba peke yao na familia zao na wengine wameingizwa na ukanda , Kwa hiyo hapa ni siasa za chuki tu ukija kwenye arguments utatukanwa tu Mkuu, Mi sioni lolote Hapo nimekata tamaa na siasa za kweli za kumkomboa Mtanzania.
 
Katavi na rukwa diamond alikwepo?
nimeona mkutano wa Magufuli Katavi.70% ya waliohudhuria ni wafuasi wa UKAWA,ccm walikuwa wachache waliovaa sare baada ya wananchi wengi kukataa Tshirt zilizogawanywa na makada wa ccm. Hii ni kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mtu wangu aliyeko mpanda.
 
Ila nahisi Kova halijui hilo. Kama angelijua angeisha badili style yake ya kufanya kazi.
 
Haaa, anaechagua mshindi ni tume ya uchaguzi?:A S-confused1:Aisee, sasa twapiga kura za nini sie.!

Acha pororojo jiandae kupiga kura :glasses-nerdy:ifikapo October, 25. kuhusu nani atashinda waachie tume ya uchaguzi

rudia kusoma tena labda utaelewa boss, we kazi yako ni kupiga kura kutatangaza mshindi ni nani sasa utabili unaotaka kuuleta mapema wakati ndo kwanzaaaa kampeni zimeanza hata kampeni meneja hatangazi matokeo
 
Back
Top Bottom