Mpo?
Kwa kawaida mgombea akishinda uchanguzi upongezwa.
Lakini hii ni kinyume na rais mteule wa TZ.
Sijapata kusikia rais wa Kenya, Uganda, Rwanda au Burundi akimpongeza Bw. Maghufuli kwa ushindi wake.
Huenda hawampendi? Ama hawafagilii namna alivyoshinda uchanguzi? Au wana sababu zao?

Huyo Shein Urais wake kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ulishakoma tarehe 2/11/2015.Je Dr Shein ambaye anaendelea kuwa rais wa Zanzibar, atahudhuria sherehe ya kuapishwa Magufuli?
Kwenye taarifa ya hbr ITV jana usiku, ziitangazwa salam toka nchi ya rwanda na falme moja ya kiarabu
Mpo?
Kwa kawaida mgombea akishinda uchanguzi upongezwa.Lakini hii ni kinyume na rais mteule wa TZ. Sijapata kusikia rais wa Kenya, Uganda, Rwanda au Burundi akimpongeza Bw. Maguufuli kwa ushindi wake.
Huenda hawampendi? Ama hawafagilii namna alivyoshinda uchanguzi? Au wana sababu zao?
Si usubiri uone kama atakuja mtu siku ya kuapishwa kwa jamaa...
Waarabu wenye milki loliondo?
Mbona watanzania tunasahau haraka hivi? Tumeshasahau vituko vya 'Coalition of the Willing/Coalition of WarLords (CoW)....Hapa issue sio pMagufuli...issue ni Tanzania