Magufuli hakunaga, aokoa trilioni 1 kwa siku 30!

Magufuli hakunaga, aokoa trilioni 1 kwa siku 30!

Hijapiga hesabu safiza za watumishi na Posho za vikao kwa ngali mbali mbali na taasisi za serikali
 
Hebu piga hesabu ingeigharimu nchi shilingi ngapi km JPM angeteua mawazari mapema? Wangekua na kazi gani? Je, ameokoa gharama kiasi gani?
Asiwe na haraka, aendelee na austerity measures.
 
Magufuli jembe sana, naona sasa kila nchi inataka kuwa na kiongozi kama Magufuli.Hii ni sifa kubwa sana kwa Tanzania.
 
Back
Top Bottom