Magufuli hajasema kweli; Anaficha Udhaifu wa Serikali na Wizara yake


Tayari umeshaside kwa kwa Mnyika hivyo kudhihilisha kuwa wewe ni fans wake hivyo chochote tutakachozungumza mimi na wewe itakuwa ni mtu na anaemtetea mpenzi wake kwa mtu ambae anazungumzia uhalisia.Kusingekuwa na Long live Mnyika ningetumia muda kubofya vitufe vya komputa ili tuelimishane.Hivyo kwa heri!!!!!!!!!!! jgoku au jinonu
 
Wewe unaleta ubishi wa kiswahili wa nani anastahili sifa ya kufanya jambo fulani. Kwani hawa wakurugenzi wa halmashauri wanaripoti kwa Mbunge au kwa aliyewateua?
Wakurugenzi wameingiaje hapo? Mbona mnachanganya mambo?
 
Kufuatana na hali ya maisha kuwa ngumu, Watanzania tumekumbwa na moral punic, ndio hali halisi inaonekana hapa JF. Mimi sijaona kitu alichoandika Mnyika hapo zaidi ya kujiingiza kwenye siasa za CCM. Huyu dogo amaeingia chaka, time will tell, analalamika kupanda ushuru kwa maguta kutoka kigamboni kuingia katikati ya jiji, hivi Dar litakuwa jiji kweli kama bado tunaentertain ma baiskeli ya mataili matatu katikati ya jiji katika karne hii. Lazima watu tubadilika, sio kwamba kila mtu anaweza kuishi mjini bwana. Ubepari umeingia Tanzania lakini watanzania hatutaki kukubali, hili swala litatutesa sana.
Kuna hoja eti kivuko cha kigamboni ni huduma.... come on Mnyika, Kivuko ni huduma??? how?. Vipi jamaa wanaoishi Zanzibar au Ukerewe, kwani na wao si part ya URT wao wasemeje. Geographia ya kigamboni ni inalazimisha kuwa na kivuko au daraja refu, kama tungekuwa na uwezo hata Zanzibar na Ukerewe tungejenga daraja au tunnel. Napata tabu sana kuamini anachokisema kuwa kivuko cha kigamboni ni huduma au kutotembea ndio kunakuanya uweze kufikiria hivyo.
Mnyika ulikojiingiza achana nako jenga Chadema bado oportunity ziko ndani ya CDM, acha kutumika kama dodoki, waache CCM wazikane otherwise tunakuona kama walewale wasioitakia mema nchi hii.
 
Soby,
Nilivyomsoma mimi J.J. Mnyika anazungumza vitu vya ndani zaidi ya kwamba hata yeye hamlalamikii Magufuli bali Magufuli anasema kuficha udhaifu wa serikali yake hii akilenga zaidi matamshi ya waziri. Kiukweli swala lilikuwa Kigamboni imekuwaje Magufuli kaweza kutuondoa Kigambini hadi atupeleke Ubungo wakati kesi ni ya Kigamboni?.. Mbona wewe hivi ama vile sidhani kama kuna nia nzuri hapa kumpata mwizi wetu hali mwenye ngozi tunaye mkononi?..

Na hata ukitazama sehemu za majukumu ya Mnyika utaona kwamba yanakwamishwa na serikali kuu zaidi ya uwezo wa Mnyika na bahati nzuri Mnyikja anatambua haya sii makosa ya Magufuli bali kama waziri lazima ateteee uonzo unaofanyika...Na ndio maana mimi sikupenda kuona viongozi hawa wakitupiana maneno kwa sababu tunajua uzembe uko wapi..
Ndivyo nilivyomsoma mimi..
 
Mkuu Mnyika,

Kigamboni siyo sehemu yako ya kufanyia kazi za kibunge..

Wewe si waziri kivuli wa barabara na ujenzi..

Kiherehere cha nini? au ndio kusifiwa kidogo na Pro-JF chadema unajiona una kichwa sana..

FYI wewe una akili za kawaida; na matosa na goba itakuwa mwisho kupata kura kule (nakupa hint)

Nenda jimboni kwako saidia wapiga kura wako..kigamboni ni maji marefu..umesahau uliposainishwa yale makubaliano mawili kuhusu katiba..oops
 
katika hili sikubaliani na mnyika 100% hasa kwa kuendeleza malumbano yasiyo na tija na kiongozi pekee shupavu aliyebaki tz mh. Magufuli... Katika hili naona mweshimiwa mnyika anafanya ushindani wa kisiasa zaidi kwa kuendeleza malumbano na magufuli na si kuwasaidia wananchi wa kigamboni
 

Huyu dogo hana jipya kama ataendelea kuwa mwongeaje kama mtangazaji (reporter), 2015 asitegemee kurudi bungeni. Kazi azifanyazo magufuli ni maji mmarefu kwa mnyika. Madogo hawa siasa zao ni za mmatukio sana , bado wanajifunza.
 



Holy crap a flying turtle!

This is good stuff for your fans..not food for thought! you have wasted your time!!

Common you are better than this!! sometime silent is wisdom

Thank you for ruining my day..

and merci, bien sur for knowing how you react under pressure.
 


hii inashangaza, great thinkers wanamjadili Mnyika na kumbeza badala ya kujadili kwa kina kuhusu viwango vilivyopandishwa hasa vya magari, maguta etc vilivyo na direct impact kwa wakazi wa kigamboni.

Kama suala ni kuhusu usafi na muonekano mzuri wa jiji basi serikali ipige marufuku maguta maeneo ya katikati ya jiji, lakini nani atafatilia? Hadi leo hii bodaboda zinaingia katikati ya jiji wakati juzijuzi tu zilipigwa marufuku.
 
Mkuu nimekuelwa.
Tatizo ni siasa kuingilia utaalam.
Foleni za Dar zimekuwa researched for a long time hata kabla Mnyika hajaamua kugombea ubunge... muda mrefu tu.
Daraja la kigamboni na vitu vingine vimefanyiwa utafiti na wataalam muda mrefu sana. Na wataalam wakienda kwenye vikao vya halmashauri, siasa zinazidi kutoka kwa madiwani na wabunge (sijui Mnyika personally).
Magufuli hakuamka asubuhi akasema anapandisha nauli ... ni wataalam wanamwambia.
Sasa badala ya hawa wabunge kutuletea mchanganuo wa kitaalam kuonyesha kuwa kivuko hakihitaji kuongezwa nauli, wanakuwa wanatuudhi wadau wengine ambao hawapendi siasa iingilie utaalam.
Mara kashaanza kurukia umeme, hivi akipewa data bado atapiga kelele? Maana hapa kinachofanywa ni kukataa kwamba yeye hajaridhia 200, bali anatetea bajaji na guta..... wakati wabunge wa Dar wote kwa pamoja wanapiunga 200. Au hujui hilo?
Siasa haziwezi kukufanya wewe mtaalam wa kila kitu ...... sana sana mnakwamisha maendeleo na kulea irresponsibility.. as if everything needs to be free just because kuna watu wamekula hela za EPA,au hela za nauli au posho or whatever!!
 
TYCHICUS Umakini gani unaouzungumzi ni kule kwa Serikali nzima kushindwa kupanga vipaumbele vya matimizi ya fedha za Serikali na hivyo kutumia mabavu kuwa[andishia wananchi gharama za maisha pasio kutazam mpato yao. Au ni kule kugeuza huduma za kijamii kama vile vivuko kuwa za kibiashara? Kama nchi ndogo kama Kenya na isiyo na raslimali kama Tanzania inaweza kutoa huduma za vivuko bure ni umakini gani unaousifia wewe kwa Tanzania yenye madini na raslimli lukuki kugeuza huduma ya vivuko kuwa biashara na kuwatoza wananchi gharama kubwa pasipo kujali ugumnu wa maisha?

Madai kuw anchi inahitaji akina Magufuli 200 ni maoni yako tu, lakini kwa wengi wetu Magufuli hafa hata kupea ukatibu kata. Ni mtu mzushi, muongo na mpotoshaji kama tulivyoonyesha hapo juu kwa vieleelzo vya kisheria.
 

Kama ushupavu wenyewe ni wa kutenda na kusimamia ufisadi wa kuuza nyumba za Serikali labda lakini hakuna ushupabvu mwingine wowote ambao umeweza kuliletea taifa hili maendeleo endelevu. Ushupavu wa kuficha udhaifu wa Serikali nayoitumikia kushindwa kupanga vi[aumbele vya matumizi ya raslimali za taifa na kutumia ubabe kuwarundikia wananchi ghrama hata katika huduma zinzostahili kupatikana bure? Huo ndio unaita ushupavu. Magufuli nifisadi kama mafisadi wengine wowote tu!!!!
 
Big up brada for clear elaboration, Magufuli yeye kajikita kusemea Shillingi mia peke yake, hizo bei zingine za bajaji,magari na maguta hata moja hajalitolea ufafanuzi, huu ni upotoshaji mkubwa kwa umma, anatufanya watanzania wajinga tunalalamikia shillingi 100???, nategemea aje na majibu yaliyoshiba kujibu hoja zako Mh mbunge
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Mnyika na Maghufuli. Nitazitaja baadhi:
-Maghufuli ni mwanasiasa MTENDAJI, Mnyika ni mwanasiasa MUONGEAJI.
-Maghufuli ni msimamiaji mzuri wa sheria na maamuzi, Mnyika hajui kusimamia sheria wala kuamua. Anapenda watu wafurahi. Wamshangilie.
-Maghufuli ni mtu wa matokeo. Anafuatlia hadi mwisho. Mnyika ana "pending issues" kibao. Hajui atazimalizaje. Mfano:
-Maji Jimboni kwake. Hana alilofanikisha. Kelele za hapa na pale tu.
-Matatizo ya wanafunzi wa UDSM iliyoko Jimboni kwake. Wamefukuzwa 43. Sijamsikia.
-Mnyika ni MTIIFU sana kwa mamlaka za juu yake. Maghufuli ni tofauti kidogo.
 
Wewe ni miongoni mwa wabunge ambao wakisimama bungeni kuongea kitu watu hukaa kimya kukusikiliza wakiamini UMAKINI wako na UJENGAJI HOJA ulionao kwenye mambo ya msingi..!Binafsi sikuona haja ya wewe kupambana na Magufuli/TEMESA (gazeti la Majira 9/1/2012) kuhusu ongezeko la nauli za kivuko kwa kuwa NAAMINI si jambo kubwa hivyo unapolinganisha na mambo mengine muhimu kwa Taifa kwa sasa. Unaposema kivuko si biashara ni huduma ebu tutazame Hospitali, Maji na Elimu..!Huku kote kama Taifa tunachangia tena pakubwa tu na concern yenu kama watunga sheria hatuioni.Najua it might be a sort of politics but in this play it right bro.
 
kama alivyotutenda katika kuuza nyumba za serikali?

Acha sweping statements wengine tumejipanga kisheria hebu taja hizo sheria tuzichamgue kama huna data acha kubwabwaja, No research no right to speak.
 

Mnyika is right kama Kenya nchi ndogo na isiyo na madini na raslimali kama Tz inaweza kutoa huduma za vivuko bure iweje TZ tushindwe na hata hicho kidogo wanacholipa wananchi kiongezwe kwa kutumia vigezo vya kibiashara?
 

wewe ndiye usiyejua kabisa nini maana ya uwakilishi kama ni hivyo tusingekuwa na wabunge zaidi ya mmoja dsm, kama definition yako ya mbunge ndio hiyo. Wanapokuja kwenye kampeni zao hayo ndio mambo wanayoahidi, hivi unafikiri jimbo la ubungo litampima mh.mnyka kwa mafanikio ya kutetea watu wa kigamboni? Acha kukurupuka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…