Kwani anawatumikia wana chato au?Asiende kabisa usilete masuala ya kupendeleana kikanda.Kila jambo na wakati bana subiri apange kwanza mipango ya kitaifa akimaliza kunyoosha mafisadi ataenda.
Home ni magogoniRaisi TanZania bado sijasikia akienda kwao Chato kusalimia au hata kushukuru watu wa huko!