Magufuli duniani Leo

JPM ndie alikuwa rais bora na sahihi kuliko marais wengine wote mpaka sasa.
 
Jamaa amekufa na utekaji wake, sasa hv nchi ni salama hakuna utekaji unaoendelea, kuanzia 2021 mpaka sasa hakuna kisa hata kimoja cha utekaji 🙏
 
Yasemwe yote ila Hayati JPM alikuwa mtu na nusu, huko aliko mungu amtunze.

Nilichogundua ni kuwa Africa if you are the best and your rivals can't outshine your abilities and performance they'll start destroying your reputation. Umaarufu wa JPM hakuutafuta Kwa promotion Wala marketing campaigns Bali aliupata Kwa Kila mweny akili timamu kuuona na kumpa kulingana na utendaji kazi wake. Ukiwa makini utaona viongozi wengi wa kisiasa hutumia ushawishi wa kisiasa zaidi kuliko nguvu ya kiutendaji katika ku win wapiga kura wao.

Hayati JPM, Alipotia downfall nyingi kutokana na kuwa na watendaji wengi wasio na Expertism kweny field zao ofcoz ni janga la kinchi, hii ilifanya kukosa watu wenye uwezo mkubwa wa kwenda na maono aliyokuwanayo, watu walikuwa wanafanya kazi Kwa woga kwakuwa walikuwa wanafanya uhuni mwingi kitu ambacho Mzee hakukikubali hata kidogo.

Yule Mzee angekuwepo Hadi sasa tungeshuhudia mapinduzi makubwa sana ya kiuchumi na kijamii Kwa ujumla, Huwa nashangaa kwanini hatukuendelea na visions zake na namna ya kufanya kazi aliyoitumia watu walianza kuwa serious sana na kazi as never before.


Ninaimani Mzee Angekuwepo basi tungekiwa mbali sana, Haimaanishi hivi sasa hatupo mbali ila mbali tuliyoitemea Kwa Mzee ni kuyaelekea mafanikio sio mbali hii ya kurudi tulikokuwa 80's
 
Au nasema uongo ndugu zangu? 😂
Ukweli mtupu mkuu, pia tumpongeze mbunge (X) Kwa kuwasaidia wananchi kukuna Nazi hakika ameupiga mwingi sana katika kutatua changamoto za kirosti,chuzi shatashata,na maanjumati Kwa kuwasaidia wananchi Kwa tui bubu na la kwanza.🤣🤣🤣
 
Unaambiwa wananchi hawakuwahi kula chuzi sotojo kama hilo la Mhe mbunge, huyu Mhe apite bila kupingwa 🔥
 
Unaambiwa wananchi hawakuwahi kula chuzi sotojo kama hilo la Mhe mbunge, huyu Mhe apite bila kupingwa 🔥
Huyu mbunge (X) naona angefanya partnership na Mh. Hashim Rungwe wangefanya mapinduzi makubwa sana ya biriani Africa na Duniani kote, wananchi tungekuwa tunafuatilia bajeti za visinia🤣🤣
 
Huyu mbunge (X) naona angefanya partnership na Mh. Hashim Rungwe wangefanya mapinduzi makubwa sana ya biriani Africa na Duniani kote, wananchi tungekuwa tunafuatilia bajeti za visinia🤣🤣
Nchi ingekuwa inanukia wali Nazi tuu 🔥
 
Reli ya SGR alijenga kwa pesa zetu bila mikopo !! Aliziba ulaji wa safari za kijinga
 
Mh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…