Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
1. Juu ya uuaji: rejea kauli yake kwenye mkutano wenu ccm " ..hao walikuwa wanaimba tuna Imani na fulani mimi robo au nusu yao ningewapoteza...."Ukiambiwa weka ushahidi sasa
Acha kumjumuisha Mungu kwenye vitu vya ajabuAlijua athari ya kujipendekeza kwa Mabeberu nini kingetokea
Jiulize kwa mfano wanasema wanamwekea Vikwazo asisafiri yeye Magufuli kwenda Marekani Dunia ingewashangaa
Magufuli ukiangalia Safari yake ya kisiasa ni hatua ambazo mwenyezi Mungu alimpangia azipite na mpaka kusudio LA Mungu likamilike
Kwa hiyo hayo Mabeberu yanajisumbua tu misaada wanayoiiita misaada ni mbinu tu za kutafuta masoko ya bidhaa zao
Misaada wanayosema wanatupa ina faida kwao kuliko kwetu
Madini yetu na rasilimali zetu ndizo mkombozi wetu kuliko haya mashoga yanayohimiza tuoane wanaume kwa wanaume
Kama chaguo la Mungu ni hili jee la shetani ni lipiAlijua athari ya kujipendekeza kwa Mabeberu nini kingetokea
Jiulize kwa mfano wanasema wanamwekea Vikwazo asisafiri yeye Magufuli kwenda Marekani Dunia ingewashangaa
Magufuli ukiangalia Safari yake ya kisiasa ni hatua ambazo mwenyezi Mungu alimpangia azipite na mpaka kusudio LA Mungu likamilike
Kwa hiyo hayo Mabeberu yanajisumbua tu misaada wanayoiiita misaada ni mbinu tu za kutafuta masoko ya bidhaa zao
Misaada wanayosema wanatupa ina faida kwao kuliko kwetu
Madini yetu na rasilimali zetu ndizo mkombozi wetu kuliko haya mashoga yanayohimiza tuoane wanaume kwa wanaume
Habari mpendwa...., unavuotuaminisha juu ya Chaguo la mungu .......,ukumbuke kuwa si Tawala zote zinazonyanyasa ama kufurahisha jamii zao hutoka kwa Mungu...,nyingine hutoka kwa mungu. hivuo huenda hata hii yako yatoka kwa mungu.Alijua athari ya kujipendekeza kwa Mabeberu nini kingetokea
Jiulize kwa mfano wanasema wanamwekea Vikwazo asisafiri yeye Magufuli kwenda Marekani Dunia ingewashangaa
Magufuli ukiangalia Safari yake ya kisiasa ni hatua ambazo mwenyezi Mungu alimpangia azipite na mpaka kusudio LA Mungu likamilike
Kwa hiyo hayo Mabeberu yanajisumbua tu misaada wanayoiiita misaada ni mbinu tu za kutafuta masoko ya bidhaa zao
Misaada wanayosema wanatupa ina faida kwao kuliko kwetu
Madini yetu na rasilimali zetu ndizo mkombozi wetu kuliko haya mashoga yanayohimiza tuoane wanaume kwa wanaume
Vya Mungu umtukuza Mungu uyafanya ya KimunguAlijua athari ya kujipendekeza kwa Mabeberu nini kingetokea
Jiulize kwa mfano wanasema wanamwekea Vikwazo asisafiri yeye Magufuli kwenda Marekani Dunia ingewashangaa
Magufuli ukiangalia Safari yake ya kisiasa ni hatua ambazo mwenyezi Mungu alimpangia azipite na mpaka kusudio LA Mungu likamilike
Kwa hiyo hayo Mabeberu yanajisumbua tu misaada wanayoiiita misaada ni mbinu tu za kutafuta masoko ya bidhaa zao
Misaada wanayosema wanatupa ina faida kwao kuliko kwetu
Madini yetu na rasilimali zetu ndizo mkombozi wetu kuliko haya mashoga yanayohimiza tuoane wanaume kwa wanaume
Toka lini chaguo la lubuva na jecha likawa chaguo la MunguAlijua athari ya kujipendekeza kwa Mabeberu nini kingetokea
Jiulize kwa mfano wanasema wanamwekea Vikwazo asisafiri yeye Magufuli kwenda Marekani Dunia ingewashangaa
Magufuli ukiangalia Safari yake ya kisiasa ni hatua ambazo mwenyezi Mungu alimpangia azipite na mpaka kusudio LA Mungu likamilike
Kwa hiyo hayo Mabeberu yanajisumbua tu misaada wanayoiiita misaada ni mbinu tu za kutafuta masoko ya bidhaa zao
Misaada wanayosema wanatupa ina faida kwao kuliko kwetu
Madini yetu na rasilimali zetu ndizo mkombozi wetu kuliko haya mashoga yanayohimiza tuoane wanaume kwa wanaume
Tumewavalia miwani ya Mbao na Masikioni tumeweka pamba kuwasikiliza walioshindwa kutekeleza yao. Kwanza kitendo cha Rais wetu kumfananisha na Trumpet sasawa na kutafuta trumpet aonekane naye yumo wakati alikataliwa siku nyingi.Acha huo ujinga wewe. Mungu yupi huyo?
Kumbuka tu huyo mzee Meko kwa sasa yuko busy kuwalamba miguu hao mabeberu ili wampe mkopo.