Magufuli azidi kumkimbiza Lowassa

SILISABANGOO

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
425
Reaction score
53
hii imedhihirisha wazi jana kwenye mkutano pale Kawe, Magufuli alivyofunga mitaa yote ya kawe barabara na viunga vyake....


 
Kweli MAgufuli ni chaguo la MUngu na hana mpinzani,tulio wengi tutamchagua na kumuunga mkono ili hatimaye awe rais wa awamu ya 5,ambaye atatupeleka nchi ya asali na maziwa
 
Naona Mnakoment Fasta Fasta.. Watoto Wa Lumumba ... Kabla Ukawa Hawajaja.. Weka Na Ile ya Kuzomewa Ubungo
 
Kumbe haikuwa Tanganyika packers
 
hii imedhihirisha wazi jana kwenye mkutano pale Kawe, Magufuli alivyofunga mitaa yote ya kawe barabara na viunga vyake....
Casual labourer at Lumumba
<dl class="userstats">Join Date : 6th October 2015
Posts : 302
</dl>
 
Hakika magufuli ni kiboko na lowassa anatamani hata uchaguzi uishe akapumzike maanake kachoka sana mzee wa watu
 
Na kisera magufuli sera zake zinaeleweka kwa wananchi na ndiyo maana wananchi wamezipokea na kumuunga mkono kwa sababu zinatekelezeka
 
bila magufuli tanzania itayumba. Kura yangu kwa magufuli.
 
Kweli MAgufuli ni chaguo la MUngu na hana mpinzani,tulio wengi tutamchagua na kumuunga mkono ili hatimaye awe rais wa awamu ya 5,ambaye atatupeleka nchi ya asali na maziwa

Sema utamchagua sio unazungumzia wingi:what: ccm uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu kama zege imara inayojengwa kwenye ghorofa imara but mwisho wa siku ccm chali:what:
 
Kweli MAgufuli ni chaguo la MUngu na hana mpinzani,tulio wengi tutamchagua na kumuunga mkono ili hatimaye awe rais wa awamu ya 5,ambaye atatupeleka nchi ya asali na maziwa

Mungu hachagui Rais wa kukuongoza anakuacha umchague wewe ili ukipata shida usimlaumu Mungu kuwa mbona chaguo lako Mungu n mateso. Wagombea wote n chaguo la vyama vyao usimsingizie Mungu.
Kama Mungu mwenyewe anakupa uhiyari wa kumchagua Yeye Mungu au Shetan sembuse kuchagua rais!
 
Magufuli ndiye Rais wetu, huyo moran akachunge ng'ombe.

Na hasa ikizingatiwa kuwa wamasai wanavyoamini kuwa ng'ombe wote ni wao, na wamelithibitisha hilo hapa meatu walivyokuwa wanakuja kuiba ng'ombe na walipkamatwa walisema eti walikuja kuwakomboa ng'ombe wao ambao hawapaswi kukaa na mtu yeote duniani isipokuwa wao kwa kuwa ni hivyo basi sisi tumewapa ng'ombe wao kura tunampa Magufuli na ndiye Rais mteule kuanzia 27 oct 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…