Magufuli awakosha wasanii mlimani city

Magufuli awakosha wasanii mlimani city

Kufuli atasalimia hata dogi barabarani. 'Shikamoo mbwa' dogi hajui hata anachoambiwa
 
Sasa kupiga ngoma na gitaa ndio kuwakosha.."?

Kwani anachaguliwa na wananchi AWE MPIGA MGOMA...??

Kapotea kweli magufuli, CCM maji ya shingo...!!
 
Naona binti anajipitisha hapo mbele akitafuta furs a..
 
Back
Top Bottom