Magufuli awaaibisha wale waliokuwa wanasema hajui kiingereza

Omary Kipingu

Member
Feb 22, 2016
40
48
MAGUFULI AWAAIBISHA WALE WALIOKUWA WANASEMA HAJUI KINGEREZA

Unapozungumza jina la Dr John Pombe Magufuli ni jina lilopata umaarufu sana duniani kote kuanzia mwishoni mwa mwaka jana baada ya kuchaguliwa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo kwa sasa Dr. Magufuli (CCM) ndio Rais wa Tanzania awamu ya tano , Magufuli ni raisi mwenye busara, mvuto kwa jamii, weredi, jasiri,mwenye huruma na wanyonge,mzungumzaji mzuri(good speaker) na mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili (IQ and EQ).

Katika kipindi cha kampeni mwaka jana kulitokea uzushi uliosambazwa na wapinzani juu ya mgombea wa CCM hususani UKAWA kwamba mgombea wa CCM Dr. Magufuli hajui kuongea Kingereza. Uzushi huu ulienezwa kwa kasi na kufanya baadhi ya watu kuamini kuwa ni kweli, lakini kumbe sio kweli ilikuwa ni kutaka kumchafua kisiasa. Rais Magufuli aliposhinda uchaguzi na kuwa rais alianza kuwadhihirishia kuwa anajua kuongea kingereza pale alipokuwa anakutana na wageni mbalimbali Ikulu na kuzungumza nao kwa lugha ya kingereza na wapinzani hao kukaa kimya kwa aibu.

Leo katika mkutano wa 17 wa EAC Raisi Magufuli akiwa mwenyekiti wa mkutano huo AMEWAAIBISHA KABISA WAPINZANI WAKE KWA KUONGOZA MKUTANO WOTE KWA LUGHA YA KINGEREZA na kuzungumza kingereza fasaha kabisa kwa ujasili na ubora wake ule ule kama akiwa anazungumza lugha adhimu ya Kiswahili. Pia haikuishia hapo Rais Magufuli akawadhihirishia wana EAC kuwa yeye ni bora katika lugha kwa kuzungumza lugha zote za EAC kuanzia KIGANDA, KINYARUANDA, KURUNDI, KIJALUO, na kushangiliwa kwa makofi makubwa na wajumbe wa mkutano huo kwa uwezo wake huo wa kuzungumza lugha mbalimbali kwa ubora ikiwemo pia KINGEREZA NA KISWAHILI kwa ubora wa hali ya juu.

Sasa ujinga wa kusema Magufuli hajui kingereza utakuwa ni unyumbu kwani lazima ujiulize, je, leo Magufuli kashikiwa mdomo sio yeye aliyekuwa anazungumza? Je, alivyoongea watu walikuwa hawamsikii au?? Je, anavyokuwa Ikulu na wageni nyie Nyumbu ndio mnakuwa mnamsemea?? Je , PhD yake ninyi nyumbu ndio mliomsaidia kusoma ?? Ukitaka kujua wewe ni Nyumbu sema tena Magufuli hajui ongea kingereza wakati EAC wote wamejionea wenyewe Jembe JPM akiunguruma Ngurudoto na kutumbua majipu ya EAC kwa kutumia kingereza, kwa kweli ukisema tena Magufuli hajui kingereza utakuwa nyumbu tu , maana utakuwa huna akili bali wewe una yako mengine au wewe ndio hujui kingereza.

Kweli Magufuli ni GIFTED LEADER tulienaye Tanzania , Tumuunge mkono na kumuombea kwa Mungu amlinde azidi kututumikia watanzania wote kwa ubora na weredi, leo kadhihirisha kuwa viongozi bora Afrika wataendelea kutoka Tanzania. HONGERA MAGUFULI KUONGOZA VIZURI MKUTANO EAC NA KUCHAGULIWA TENA KUONGOZA EAC KWA MWAKA MMOJA ZAIDI.

[HASHTAG]#LONG[/HASHTAG] LIVE TANZANIA

[HASHTAG]#LONG[/HASHTAG] LIVE EAC

[HASHTAG]#LONG[/HASHTAG] LIVE AFRICA

[HASHTAG]#HAPAKAZITU[/HASHTAG]

By Mkulima Omi K.

Leo katika mkutano wa 17 wa EAC Raisi Magufuli akiwa mwenyekiti wa mkutano huo AMEWAAIBISHA KABISA WAPINZANI WAKE KWA KUONGOZA MKUTANO WOTE KWA LUGHA YA KINGEREZA na kuzungumza kingereza fasaha kabisa kwa ujasili na ubora wake ule ule kama akiwa anazungumza lugha adhimu ya Kiswahili.

Hiki ndiyo unakiita Kiingereza fasaha?

No wonder we mwenyewe hujui hata 'r' uiweke wapi na 'l' uiweke wapi.

Hivi kujua kingereza ni kigezo muhimu kwa rais wa nchi? Mbona marais kibao hawajui kiingereza wanaongea lugha za kwao hata kwenye mikutano muhimu. Nadhani tunahitaji kutukuza vya kwetu... Hata wanaoenda mikutano ya kimataifa waongee kiswahili
 
Kwani kujua kiingereza ndo ukiona pepo? MI nilitaka Kwanza angeongea kiswahili
Sasa nini Mantiki ya huu uzi.
Kutaka kuuaminisha umma kuwa jamaa Leo kapiga Ngeli ya Maana kumbe ugoko.
Mnaumbuliwa mnaishia kuanza kujitetea namna hii.
Nani aliwatuma mlete huu uzi ?
Hii inaonesha ni jinsi gani Mlivyo weupe vichwano
Kinatosha sana kama lugha yake ya pili, Museveni hapo kiswahili hachomoi mbona, hata kenyatta kiswahili chake huwezi linganisha na kingereza za Magufuli......ukumbuke zote ni lugha!
 
Mie ni mpinzani wa Magufuli hasa kwenye Ununuzi wa kivuko cha Dar kwenda Bagamoyo na kutomchukulia Hatua Mwakyembe juu ya Ununuzi wa mabehewa feki huku akimlinda mkurugenzi aliyetangaza Zuio feki toka Mahakama juu ya Uchaguzi wa Meya , sasa anatumia polis kufanya Udikteta juu wa wabunge wa Ukawa. Lakini Kwa hili la Kingereza naweza kumtetea kutokana na Wasomi wengi hasa wa sayansi kutojua Kingereza cha kuongea lakini kwenye kuandika wapo vizuri, pia si lazima Rais aongee Kingereza mbona Rais wa China, Korea, Uarabuni , German, Italy,Rusia, nk hawazungumzi Kingereza popote waendapo Duniani , Sidhani Kama kujua Kingereza ni njia bora ya kupata Rais mwadilifu na mtenda haki .
 
Sasa nini Mantiki ya huu uzi.
Kutaka kuuaminisha umma kuwa jamaa Leo kapiga Ngeli ya Maana kumbe ugoko.
Mnaumbuliwa mnaishia kuanza kujitetea namna hii.
Nani aliwatuma mlete huu uzi ?
Hii inaonesha ni jinsi gani Mlivyo weupe vichwano
Watu wanataka Yule mkurugenzi aliyekuja na Zuio Feki la Mahakama atumbuliwe JIPU na polis waache kuwanyanyasa Ukawa Kwa visingizio vya kufanya fujo wakati huyo wanayedai kafanyiwa fujo aligushi nyaraka za mahakama.
 
MAGUFULI AWAAIBISHA WALE WALIOKUWA WANASEMA HAJUI KINGEREZA

Unapozungumza jina la Dr John Pombe Magufuli ni jina lilopata umaarufu sana duniani kote kuanzia mwishoni mwa mwaka jana baada ya kuchaguliwa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo kwa sasa Dr. Magufuli (CCM) ndio Rais wa Tanzania awamu ya tano , Magufuli ni raisi mwenye busara, mvuto kwa jamii, weredi, jasiri,mwenye huruma na wanyonge,mzungumzaji mzuri(good speaker) na mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili (IQ and EQ).

Katika kipindi cha kampeni mwaka jana kulitokea uzushi uliosambazwa na wapinzani juu ya mgombea wa CCM hususani UKAWA kwamba mgombea wa CCM Dr. Magufuli hajui kuongea Kingereza. Uzushi huu ulienezwa kwa kasi na kufanya baadhi ya watu kuamini kuwa ni kweli, lakini kumbe sio kweli ilikuwa ni kutaka kumchafua kisiasa. Rais Magufuli aliposhinda uchaguzi na kuwa rais alianza kuwadhihirishia kuwa anajua kuongea kingereza pale alipokuwa anakutana na wageni mbalimbali Ikulu na kuzungumza nao kwa lugha ya kingereza na wapinzani hao kukaa kimya kwa aibu.

Leo katika mkutano wa 17 wa EAC Raisi Magufuli akiwa mwenyekiti wa mkutano huo AMEWAAIBISHA KABISA WAPINZANI WAKE KWA KUONGOZA MKUTANO WOTE KWA LUGHA YA KINGEREZA na kuzungumza kingereza fasaha kabisa kwa ujasili na ubora wake ule ule kama akiwa anazungumza lugha adhimu ya Kiswahili. Pia haikuishia hapo Rais Magufuli akawadhihirishia wana EAC kuwa yeye ni bora katika lugha kwa kuzungumza lugha zote za EAC kuanzia KIGANDA, KINYARUANDA, KURUNDI, KIJALUO, na kushangiliwa kwa makofi makubwa na wajumbe wa mkutano huo kwa uwezo wake huo wa kuzungumza lugha mbalimbali kwa ubora ikiwemo pia KINGEREZA NA KISWAHILI kwa ubora wa hali ya juu.

Sasa ujinga wa kusema Magufuli hajui kingereza utakuwa ni unyumbu kwani lazima ujiulize, je, leo Magufuli kashikiwa mdomo sio yeye aliyekuwa anazungumza? Je, alivyoongea watu walikuwa hawamsikii au?? Je, anavyokuwa Ikulu na wageni nyie Nyumbu ndio mnakuwa mnamsemea?? Je , PhD yake ninyi nyumbu ndio mliomsaidia kusoma ?? Ukitaka kujua wewe ni Nyumbu sema tena Magufuli hajui ongea kingereza wakati EAC wote wamejionea wenyewe Jembe JPM akiunguruma Ngurudoto na kutumbua majipu ya EAC kwa kutumia kingereza, kwa kweli ukisema tena Magufuli hajui kingereza utakuwa nyumbu tu , maana utakuwa huna akili bali wewe una yako mengine au wewe ndio hujui kingereza.

Kweli Magufuli ni GIFTED LEADER tulienaye Tanzania , Tumuunge mkono na kumuombea kwa Mungu amlinde azidi kututumikia watanzania wote kwa ubora na weredi, leo kadhihirisha kuwa viongozi bora Afrika wataendelea kutoka Tanzania. HONGERA MAGUFULI KUONGOZA VIZURI MKUTANO EAC NA KUCHAGULIWA TENA KUONGOZA EAC KWA MWAKA MMOJA ZAIDI.

[HASHTAG]#LONG[/HASHTAG] LIVE TANZANIA

[HASHTAG]#LONG[/HASHTAG] LIVE EAC

[HASHTAG]#LONG[/HASHTAG] LIVE AFRICA

[HASHTAG]#HAPAKAZITU[/HASHTAG]

By Mkulima Omi K.
kazi ipi ? Udikteta Kwa wapinzani ?
 
kwani magufuri anatawala uingereza nyinyi wapumbafu na malofa, hamjachoka tu kuzungusha mikono
Mikono itazungushiwa wapi ? Wakati sasa mnatawala Kwa Udikteta ! Aliyegushi Zuio la Mahakama anapeta mitaani lakini wale waliodai uharali wa Zuio sasa wamebambikiwa kesi ! Mikono itazungushiwa wapi ?
 
Back
Top Bottom