Magufuli augua ghafla, alazwa

Status
Not open for further replies.
Kama ndivyo..Mungu amponye haraka ili arudi ktk kumtumia Mungu na taifa lake kwa ujumla.
 
Kulingana na naibu spika alikumbwa na homa ya ghafula.B.P ya Dr Maghufuli ikakutwa iko juu na ana kichomi upande wa kushoto wa mbavu zake. Amelazwa General Hospital.
 
kuna taarifa nimezipata hivi punde kwamba waziri wa ujenzi jojn magufuli ni mgonjwa na amelazwa icu dodoma kwa tatizo la heart attack.naendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi.


get well soon jembe! Wewe japo ni ccm huwa silioni gamba!
 
Kamanda sio daraja la ngaka ni daraja la mbutu ,mwaka huu ndio limeua watu wng zaidi.kuugua kwake huenda ni maombi na machozi ya waombolezaji .ata yy akiwft walio tangulia combaya.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…