Magufuli augua ghafla, alazwa

Magufuli augua ghafla, alazwa

Status
Not open for further replies.
ukubwa nao kazi, yaani hata akienda check-up ya kawaida, tuanaambia!
 
Kamanda sio daraja la ngaka ni daraja la mbutu ,mwaka huu ndio limeua watu wng zaidi.kuugua kwake huenda ni maombi na machozi ya waombolezaji .ata yy akiwft walio tangulia combaya.
 
Pole sana Mh Pombe nakuombea kwa Mungu upone haraka jembe langu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom