Magufuli ataweza kuitosa CCM?

Magufuli ataweza kuitosa CCM?

Akili za kibavicha ni zaidi ya uharo, eti yako yanapeana moyo, lile kapi lao lenye tete kuwanga hata hawalijali tena,wamelitelekeza wako wanajikombakomba kwa magufuli! Ama kweli minafiki ni zaidi ya michawi
 
Lowassa kapotezwa sana na magufuli,bavicha wanaota kumtenganisha ccm na magufuli.hamuwawezi ccm itatawala milele kwa hesabu zake kali sasa ni kama hakuna upinzani kwa miaka 10 ijayo
 
Lowassa kapotezwa sana na magufuli,bavicha wanaota kumtenganisha ccm na magufuli.hamuwawezi ccm itatawala milele kwa hesabu zake kali sasa ni kama hakuna upinzani kwa miaka 10 ijayo
upo frustrated sana munazabwa vibao na magufuli maffisadi nyie achana na chadema bavicha na lowassa kwa raha zao wanajenga nchi
 
Back
Top Bottom