Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Mimi nauchukia umasikini, hiyo ndio kauli yake. Tembelea jimbo lake la zamani uone kama linafanana na mtu anayeuchukia umaskini.
Akasema ndani ya siku 100 za kwanza nchi itakuwa imeshausahau umasikini. Kawa mbunge kwa miaka mingi tu, lakini nyumba za nyasi zipo barabarani tu wala huhitaji kwenda mpaka kule milimani kujua umasikini upo vipi pale jimboni kwake kwa zamani.
Mkuu mleta mada Mungu ni mwema, kwani binadamu hupanga ya kwake halafu Muumba huja na mipango yenye wema zaidi kuliko ile ya kibinadamu ambayo huhusisha unafiki wakati inapoelezewa ili ikubalike mbele ya watu.