Mkuu mleta Mada ufisadi ni mpana subira huvuta heri. Wengi wenu Mmekuwa mkiuliza na mkitaka kujua kuhusu ufisadi wake.
Nawasihi msubiri tu mtaelezwa mahakama ikianza kazi ndo mtashangaa. Ila nawaombeni muwe wavumilivu mtakapoyasikia yanayomuhusu boss wenu wa UKAWA msijedhani anasingiziwa.
Dunia haina siri.