Leo mabalozi wa umoja wa ulaya wamemsifu bwana magufuli kwa kazi yake nzuri kuzuia wazururaji wa ulaya na kuwawajibisha watumishi wazembe nadhani ni pamoja na kumtimua mkurugenzi MOI. Waahidi kumwaga mamilioni katika budget yake.
mkurugenzi wa MOI katimuliwa au kahamishwaa??
tatizo habari zako unazijua ww peke yakoo!!
kama ni sifa Kikwete alisifiwa sana,lakini ukiona mtu anasifiwa na wazungu ujue wanataka kumtumia kwa faida yao

Ila kama wee ni mvivu namba lazima uisone.
Eddy wa buswelu tofautisha kati ya kuamisha na kutimua ni vi2 viwili tofauti hv habari huwa mnasikilizaga nyie peke yenu. kweli buswelu mbali na dunia
Leo mabalozi wa umoja wa ulaya wamemsifu bwana magufuli kwa kazi yake nzuri kuzuia wazururaji wa ulaya na kuwawajibisha watumishi wazembe nadhani ni pamoja na kumtimua mkurugenzi MOI. Waahidi kumwaga mamilioni katika budget yake.
Kasome vizuri historia yake kabla huja comment. Kwa kukusaidia mwl honorary degree ya kwanza aliipata chuo kikuu alichosoma cha Scotland Edinburgh, pia usa vyuo vitatu canada kimoja hata cuba india na sehemu nyingi Africa kuna watu wanamwita Dr Nyerere kama ulikua hujuiNyerere alitufanyia mengi yenye manufaa watanzania lakini wazungu hawakumsifu wala kumpa udoctor jiulize kwa nini?
Leo mabalozi wa umoja wa ulaya wamemsifu bwana magufuli kwa kazi yake nzuri kuzuia wazururaji wa ulaya na kuwawajibisha watumishi wazembe nadhani ni pamoja na kumtimua mkurugenzi MOI. Waahidi kumwaga mamilioni katika budget yake.
Vipi kuhusu yule rubani mwingine (kamanda wa anga) aliyegeuza gia angani. Ndege ilifika salama kweli?Yule mzee wa anga kwa anga si mlikuwa mnamsifu alipokuwa anataka kuvunja rekodi ya marubani ya kutumia masaa mengi angani?