Halafu munataka mtu huyo leo tumpe urais!!! inaonesha alipokuwa bungeni alikuwa anasinzia. Hivi si yeye aliepitisha michango ya maabara. Uraisi kwake utaishia kwenye mikutano yake ya kampeni tu.Mgombea wa urais kupitia CCM, John Magufuli, amesema ameshangazwa na utaratibu wa kuchangisha wananchi pesa kwa ajili ya shughuli mbalimbali za maendeleo wakati halmashauri zimetengewa bajeti. Ameyasema hayo katika harakati za kampeni huko mkoani Mara.
Chanzo: ITV Habari
Mgombea wa urais kupitia CCM, John Magufuli, amesema ameshangazwa na utaratibu wa kuchangisha wananchi pesa kwa ajili ya shughuli mbalimbali za maendeleo wakati halmashauri zimetengewa bajeti. Ameyasema hayo katika harakati za kampeni huko mkoani Mara.
Chanzo: ITV Habari
magufuli ni janga lingine la Taifa hili,mtu aliyekuwepo serikali for 20 years tena akiwa waziri then anajifanya kushangaa si usanii huo?Mgombea wa urais kupitia CCM, John Magufuli, amesema ameshangazwa na utaratibu wa kuchangisha wananchi pesa kwa ajili ya shughuli mbalimbali za maendeleo wakati halmashauri zimetengewa bajeti. Ameyasema hayo katika harakati za kampeni huko mkoani Mara.
Chanzo: ITV Habari
Mgombea wa urais kupitia CCM, John Magufuli, amesema ameshangazwa na utaratibu wa kuchangisha wananchi pesa kwa ajili ya shughuli mbalimbali za maendeleo wakati halmashauri zimetengewa bajeti. Ameyasema hayo katika harakati za kampeni huko mkoani Mara.
Chanzo: ITV Habari
hongera Mkuu kwa kuliona hili,ukitaka kuvuka mafuriko usibishane nayo,fuata uelekeo wake taratibu utavuka salama,ndicho magufuli anachofanyaNyie hamjajua kitu hapa ngoja niwaambie. Baada kuona chama kama chama hakikubariki uko kwa wananchi jamaa na kamati yake wameoona wabadirishe gia angani sasa anapiga kampeni akiwa kama Magufuli ndio maana anajifanya kama hakubaliani na yaliyokuwa yanafanyika ktk serikal iliyopita ili jamii imuamini yeye kuwa kama anachukia hayo maana yake akiingia madarakani atabadirisha mfumo. Lakini watu wanashindwa kujua kama hii ni danganya toto uyu magufuli ashangai kwa dhati kutoka moyoni ni body language hiyo ili kuwalaghai wananchi