Magufuli Arejesha Millioni 54.80 zilizo tafunwa

Waziri2025

Senior Member
Sep 2, 2019
148
379
Agizo la Rais Magufuli la kutaka kurejeshwa kwa fedha za Chuo cha Ualimu cha MONGARE kilichopo wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro cha kiasi shilingi million 76 .9 zilizo tafunwa na Aliyekua Mhasibu Wa Chuo Cha uwalimu Bi Sarafina Mbwambo na Melkizedek Mchau karani Wa Miamala Wa ELCT ND Sacco's Zimezaa Matunda .

watuhumiwa hao wameanza kurejesha fedha kiasi cha Shilingi Million 54 ,80 kati ya fedha kiasi cha shilingi Million 76.9 walio zitumia kupitia Miamala hewa .

Akipokea Malipo hayo Mara baada ya kutoa wiki mbili fedha hizo kurejeshwa katika Account ya Chuo,Mkuu Wa Wilaya Lengai Ole Sabaya Amesema kwamba Fedha Hizo zililipwa na wazazi kwa lengo la wanafunzi kupata Elimu ya kufundisha kozi ya Ualimu na ndipo watumishi hao kujichotea fedha hizo kutumia Account hewa

Amesema kutokana na watumishi hao kuchota fedha hizo bila huruma wakijua kwamba wazazi Wa wanafunzi walio fika chuoni hapo kupata elimu ni watoto Wa maskini alitoa wiki mbili fedha hizo kurudishwa katika Account ya Chuo na wanafunzi kuendelea na Masomo

Fedha hizo zilileta Mgogoro Mkubwa baina ya uongozi Wa Chuo pamoja na wazazi Mara baada ya wanafunzi kuingiwa hofu ya kurudi Nyumbani kwa kukosa masomo na ndipo mkuu Wa wilaya kuingilia kati na kutoa maagizo ya kukamatwa kwa Muhasibu pamoja na karani wa Miamala hewa.

Sabaya Amezitaja taasisi zingine zilizo tafuna fedha hizo ni pamoja na Bank ya Crdb wilani Hai taasisi ya ELCT ND Pamoja na Chuo cha Ualimu Mongare kwa uzembe wa kuacha kufanya Ukaguzi wa mahesabu kwa Mwaka Mzima Chuoni hapo kiasi cha shilingi million 36.9

Mkurugenzi wa Chuo hicho Joseph Mongare Msaki akisoma taharifa ya urejeshwa Fedha amesema kwamba Fedha hizo zimeingizwa katika Account ya Chuo Mara baada ya utapeli ulio fanyika na Mhasibu kwa kushirikiana na wakala wa Sacco's

Joseph amesema kwa mujibu wa Maagizo ya Mh Rais kuhagiza fedha hizo kurejeshwa Mara moja katika Account ya Chuo ndipo kupitia Mkuu wa wilaya kutoa amri ya wiki mbili fedha hizo ziwe zimerejeshwa chuoni.

Mkurugenzi amemshukuru Mkuu wa wilaya pamoja na Mh Rais John Pombe Magufuli kwa fedha hizo kurejeshwa na wanafunzi kuendelea na masomo yao kama hapo awali .

Mkuu wa wilaya Lengai Ole Sabaya toka kukabidhiwa wilaya Hai Amekua mkombozi Mkubwa kwa wananchi wa wilaya hiyo kwa kuondoa changamoto ya ubadhirifu wa Mali za umma pamoja na kutatua migogoro ya Ardhi .

CRDB,wameomba kuzilipa kwa utaratibu wao ili kumaliza changamoto hiyo jambo ambalo amewakubalia.

Aidha amewataka Wanachuo hao pamoja na taasisi zilizo husika katika upotevu wa fedha hizo kuacha uhasama badala yake washirikiane kwakua tatizo limesha malizika.

"hakuna sababu ya kuchukiana na hizi taasisi tunashukuru Mungu tumemaliza hilo pamoja na Kumshukuru Rais Magufuli kwa kuingilia katika "
............
IMG_20191002_134526_4.jpeg
IMG_20191002_130632_9.jpeg
IMG_20191002_130516_1.jpeg
IMG_20191002_124452_1.jpeg
IMG_20191002_132049_7.jpeg
 
............View attachment 1221685View attachment 1221686View attachment 1221687View attachment 1221690View attachment 1221693
bado 1.5 t
 
Chuo hicho mali ya Mongare ambaye pia ni Mkurugenzi, sasa Magufuli kaingiaje? Naona sasa mtamuhusisha hata kwa pesa mlizowachomolea kwenye pochi wake zenu.
 
Back
Top Bottom