Magufuli 'apigwa' Bilioni 100

Ndugu zangu

wakati mwingine nashindwa kuwaelewa watanzania wenzangu
Hivi vita dhidi ya ufisadi nk ni vyetu sote kwa faida yetu wote.
Sasa tunaposema Ndugu Rais kapigwa nk sii ni ujuha uliopitiliza ? Hasara ni ya nani ? Mtu kajitolea watu wanaleta ujuha. Inakera sana hii

Ndugu zangu, tubadilike. Hii nchi ni yetu, faida/hasara ni yetu.

Respect !!!
 
Jim nashangaa sana unaposema mgufuli kapigwa,sema watanzania tumepigwa au we we sio mtz mini?
 
Kizazi cha sasa kimejengwa kwa misingi ya kisiasa, hivyo kwao kila kitu siasa yaani mtu anafurahi kodi yake kuibiwa.!
 
Kajitolea kufanya nini mkuu na mimi nijitolee kama yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…