einstein newton
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,969
- 2,685
Tuanhitaji kiongozi wa nchi siyo mkuu wa kikosi cha jeshi. Push-up zake au kukimbia mchakamchaka hakutatuondolea umasikini watanzania
Well said Mkuu.
Hata awe Mkakamavu kama Chuma,Ufanisi wa kiongozi unapimwa na Maamuzi yake sahihi siyo ya Kukurupuka.
ZNZ hakijaeleweka,yeye anajazwa sifa na Media
Poor tanzania