kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,448
Si ni yule kipindi cha mchakato akatakiwa kuwaomba msamaha waislam.Umenena vema. Hujataja RVA feki. Eti kesi kashinda na sasa anaidai serikali Bilioni 60!!!! Hivyo mmiliki wa kiwanda hiki nani vile????!!!!!???
kama ametaka tusimame kwenye ukweli,ukweli wenyewe ndio huu,jipu linaumaUzi huu ni mzuri sana ila kwa Lumumba ...mh!
Buti akaze kweli sababu familia imeshaanza kuficha vitu ndani ya nyumba,kesho watakufungia mlango usiingieTusinfefika popote kama nchi kwa mwendo ule. Kaza buti Dr magufuli
Nakumbuka kipindi Si kirefu akiwa waziri, matajiri wa malori waligoma wakapaki barabarani, mh. akasema kupaki ruksa ila majikoni kwenu....mwisho wa picha matajiri wakaibuka kidedea, tusubiri toleo lijalo....!.Kitendo cha kuwakana wafanyabiashara mbele ya hadhira kuwa hawakuchangia na hawakudai hata senti na anaekudai asimame lilikuwa kosa kubwa ili hali kila mtu anajua kuwa hao watu wanamchango kufanikisha kampeni mpaka kuchaguliwa urais,kama mwenyewe ulivyojinasibisha kuwa huna kitu,hivi unafikiri mwenyekiti na genge lake wana furaha nawe haiwezekani sababu sura yako haikuonekana kwenye kukopa wala kuomba michango umekiachia chama mzigo wa madeni,sasa hawa malipo yao ilikuwa kuwachiwa wafanye watakavyo.Angalia sasa wanaficha sukari ccm wanakukomoa sababu hao ndio wenye hivyo viwanda na hisa,mwenyekiti anajua lakini ana hasira amekuchunia yupo upande wa rafiki zake,kwani mtoto wa mkulima aliposema mafisadi wakifungwa nchi itayumba alimaanisha hao ndio wenye flow meter,sukari na bandari kavu.na ndio vyanzo vya mapato ya chama sio viwanja wala kulaza magari wala shule,jua umeingilia mapato ya chama.
Angalizo huwa wanamchezo wa kubadilisha ubao wa matangazo mwenzio aliambiwa madawa ya kulevya akapambana nayo kweli kumbe maliasili na bandari na taasisi za umma wanamaliza,wewe wamekuwekea wa sukari sasa.jivike mabomu ulipuke nao hakuna jinsi.
Si ni yule kipindi cha mchakato akatakiwa kuwaomba msamaha waislam.
Kaka alikuwa na maneno yake haya,kwanini tunagombea fito wakati tunajenga nyumba moja.Kumbe!ndio nimeamini sasa kuwa bila ufisadi c.c.m imekufa!
Walifikia 40 hawa kwenye mchakato kwa kujua kuendesha nchi ni kama uwaziri au mwenyekiti wa kamatiKaaaZi kweli kweli. Kuendesha nchi ni kazi nzito sana
jipu haliumi ila limekaa sehemu nyeti ,ukilitumbua unatengua nguvu za kiume ukiliacha utaoza sehemu nyeti.ha ha ha maana hii kilio na kicheko zote kelele.kama ametaka tusimame kwenye ukweli,ukweli wenyewe ndio huu linauma