Polisi wenyewe wa digitali hawa, hawakawii kuuza mechi au kuweka mpira kwapani na kukimbia! Nimejisemea tu
Epuka kuchanganya haya madudeMajizi Chadema mnatapatapa sana.
Kila saa Magufuli Magufuli hakauki midomoni mwenu.
Shem to you
Majizi Chadema mnatapatapa sana.
Kila saa Magufuli Magufuli hakauki midomoni mwenu.
Shem to you
La kwanza ni kuongeza kodi
kodi na tozo za biashara mbalimbali zimepandishwa kiholela
sasa watu hawaruhusiwi hata kufanya mikutano
Umemshauri vizuri raisi wetu, kiasi ambacho kwamba you realy deserve to be the boss, without any doubt at all.kwa mambo ambayo busara kidogo ingetumika
kusingekuwa na ulazima.......
Kiengereza WitoChadema mnatapatapa sana.
Kila saa Magufuli Magufuli hakauki midomoni mwenu.
Shem to you
Kwani yanayo semwa wewe huyaoni? Kuna mambo hayahitaji hata elimu ya darasa la sita kuyatambua.Chadema mnatapatapa sana.
Kila saa Magufuli Magufuli hakauki midomoni mwenu.
Shem to you
Polisi wenyewe wa digitali hawa, hawakawii kuuza mechi au kuweka mpira kwapani na kukimbia! Nimejisemea tu
Halafu wengi wañàtukopa madukàñi NA gengeni wakiishiwaPolisi wenyewe wa digitali hawa, hawakawii kuuza mechi au kuweka mpira kwapani na kukimbia! Nimejisemea tu
Shame to you ndo nn?? Andika kiswahili hizi ni lugha za watu achana nazo.Chadema mnatapatapa sana.
Kila saa Magufuli Magufuli hakauki midomoni mwenu.
Shem to you
Ndio wasiwasi wangu tu huo, si wakuwaamini sana! Wale Polisi watiifu sidhani kama bado wengi kiasi hicho! Wale wa Misri waliuza game kipindi kile hahaahahaaah tusifike mbali. Niko kwenye maombi ya mfungo Mungu atuepushe na mambo hayaKwa mahahara wa laki 2.5 ni lazma wauze mechi.
Huyu Magufuli mimi simwelewi kabisa siku hizi.
Alipoanza kuna baadhi ya mambo nilimuunga mkono.
Lakini sasa hivi naona haeleweki kabisa.
Bada ya kupiga kazi tu anaishia kukimbizana na CHADEMA.
Tatizo lake ni nini?
Hana ustahmilizu wa kukosolewa?
It more active in social media...I can assure you!Huwezi kupigana na ukuta kama upotimamu kiakili jamani kwani wahenga walisha tuambia kuwa
Mpiga Ngumi ukutani huumiza mkonowe!!!
Ni methali za zamani lakini watu hawa wanashindwa kuelewa
Ni kama anaonekana akikosolewa 'ataaibishwa'
hajui kukosolewa ni 'lazima' nyakati hizi
Hata akigawa chakula bure kwa Watanzania
kumkosoa hakuepukiki