Magufuli anachekesha walionuna

Magufuli anachekesha walionuna

Magufuli atakuwa kachanganyikiwa.Jana nilibahatika kuangalia mkutano wake akiwa Geita.
Hajui anatakiwa aongee nini kama mgombea wa urais,hana ushawishi kabisa.
Alipoteza zaidi ya lisaa kwa kujisifia,mara awaambie akina mama wapige vigelegele!
Nilishangaa sana.

Nikikuuliza nawewe hapohapo Geita, stendi ya Chato mgombeawenu aliweza kufanya vitu alivyoshindwa Magufuli??
 
Huwezi kuisikiliza hotuba ya Magufuli ikakuvutia kuipigia kura CCM! Anaonesha jinsi kulivyo na mafisadi ndani ya chama na jinsi chama hicho kilivyoshindwa kuwaletea Watanzania maendeleo. Anaonesha jinsi serikali iliyopita ambavyo haikuwa makini katika maamuzi yake na jinsi ilivyokuwa mzigo kwa wananchi. Anatumia muda mwingi kujikinga na ukweli wa uhitaji wa mabadiliko unaotangazwa na Chadema na Lowasa. Anaukanusha na huku anauunga mkono! Anajaribu kuonesha kuwa yeye ni mbabe na kama akichaguliwa utawala wake utakuwa wa kibabe! Huyu kweli hafai kabisa kuwa raisi!
 
Leo akiwa kinondoni anasema yeye anakwenda kufanya maamuzi sahihi si maamuzi magumu kama ya lowasa. Eti maamuzi magumu yanafanywa vibaka na majambazi.

Maamuzi sahihi yapi? Ya kukamata meli tunakuja kulipa matrilioni kama fidia? Maamuzi sahihi ya kubomoa visima vya mkafuta mahakama inakataa. Maamuzi sahihi ya kuhonga malaya wake nyumba za serikali, maamuzi sahihi ya kubomoa nyumba za wananchi bila fidia. Bora anyamaze lasiongelee maamuzi magumu ya lowasa.

Nilichogundua ww unatatizo la wivu, inaonekana hiyo nyumba ulitaka akupe ww, si ungesema, na hili ndo tatizo la watz ss ni vema hiyo nafasi ungechaguliwa ww au babako au mamako, nahisi ndo waminifu kabisa na hawapendi pesa hata kidogo. tatizo wapiga debe mmekuwa wengi mno.
 
Back
Top Bottom