kisiri mwihechi
Senior Member
- Jun 8, 2015
- 135
- 24
Leo akiwa kinondoni anasema yeye anakwenda kufanya maamuzi sahihi si maamuzi magumu kama ya lowasa. Eti maamuzi magumu yanafanywa vibaka na majambazi.
Maamuzi sahihi yapi? Ya kukamata meli tunakuja kulipa matrilioni kama fidia? Maamuzi sahihi ya kubomoa visima vya mkafuta mahakama inakataa. Maamuzi sahihi ya kuhonga malaya wake nyumba za serikali, maamuzi sahihi ya kubomoa nyumba za wananchi bila fidia. Bora anyamaze lasiongelee maamuzi magumu ya lowasa.