Magufuli amepoteza mwelekeo wa kampeni za CCM?

asante arusha kwa support yenu ya Jana. hapa kazi 2
 
Mpaka sasa mwenendo wa kimantiki Wa kampeni za mgombea urais Wa CCM hauleweki
kabisa. Wapiga kura, Wapambe na wapiga debe wa CCM wamebaki njia panda sana. Hawana mahali pa kusimamia kabisa, baada ya Magufuli ambaye ndiye mgombea urais wa CCM kushindwa kuonyesha msimamo katika Sera za CCM.

Kwa mfano.
1/Magufuli amekuwa akijinadi na kunadiwa kama mgombea binafsi kuliko kunadiwa kama mgombea wa CCM. Mabango ya kampeni za Magufuli yamekwepa kabisa kutaja neno CCM, Nembo ya kampeni za Magufuli ni Mwenge badala ya Jembe na Nyundo ambayo ndio nembo rasmi ya CCM siku zote.
Hali hii inawasumbua sana makada wengi wa CCM ambao bado wanaamini CCM pekee bado ni mtaji wa kura kuliko Magufuli Pekee yake.

2/Kauli za Magufuli za wazi wazi majukwaani za kuikosoa serikali ya CCM iliyopo madarakani na watendaji wake. Hali hii inawapa wakati mgumu makada Wa CCM kutumia tena mafanikio ya serikali ya Kikwete iliyopo madarakani kama mtaji wa kuombea kura. WanaCCM wanasema mtindo wa kuikosoa serikali ni utamaduni wa upinzani hivyo hauwezi kuongeza chochote kwa CCM zaidi ya kuwafumbua Akili wananchi ambao mwisho wa siku wataamua kuchagua UKAWA maana serikali inayokosolewa ni serikali ya CCM pia.

3/Kuiga vionjo, kauli mbiu na Sera za UKAWA za kusema Watanzania wanataka MABADILIKO. Hii kitu inawapa makada wa CCM wakati mgumu zaidi maana imekuwa ikiongeza hamasa zaidi kwa Watanzania kuamua kuchagua UKAWA waana wao ndio waasisi na wapiga debe zaidi Wa MABADILIKO.

4/Magufuli amekuwa akiwataja wazi wazi katika vikao vya ndani na hata majukwaani makada wa CCM wa juu anaohisi wanamsaliti katika harakati zake za kampeni.
Makada wengi wa CCM wanasema kitendo hicho kimewafanya wasiaminiane, watengane na hata kufuatiliana wao kwa wao badala ya kufanya siasa za msingi.

sasa inakuhusu nini? hahahahaha. ukawa mnatapatapa
 
Makada wengi wa CCM wanasema kitendo hicho kimewafanya wasiaminiane, watengane na hata kufuatiliana wao kwa wao badala ya kufanya siasa za msingi.[/QUOTE

umeshaanza kuisoma namba! baada ya kutambua kuwa Tinga Tinga limeshakata KM zisizopungua 21000 KM ...ameyafikia Majimbo 228 kati ya 300 mmeanza kupagawa..... Mlikuwa hamjui kuwa wapiga kura wengi hawana simu za mkononi, hawasomi magazeti yenu mliyoyanunua..... Hadi sasa Hivi MAGUFULI hata akiacha kupiga kampeni ameshamaliza Kazi.... Kura urais 76% Viti vya ubunge 76% ..... NAFIKIRI SHUGHULI YA ARUSHA IMEWACHANGANYA KWELI..... Moshi Mbunge Mtarajiwa MOSHA tunakuja!!! Jiunge na team ya Washindi.... JPM
 
ukiwa mgonjwa shida sana jana ulikuwepo Arusha au ulipata mtu angalau hata akuhadisie tu mambo yalivyokuwa.
 
Mpaka sasa mwenendo wa kimantiki Wa kampeni za mgombea urais Wa CCM hauleweki
kabisa. Wapiga kura, Wapambe na wapiga debe wa CCM wamebaki njia panda sana. Hawana mahali pa kusimamia kabisa, baada ya Magufuli ambaye ndiye mgombea urais wa CCM kushindwa kuonyesha msimamo katika Sera za CCM.

Kwa mfano.
1/Magufuli amekuwa akijinadi na kunadiwa kama mgombea binafsi kuliko kunadiwa kama mgombea wa CCM. Mabango ya kampeni za Magufuli yamekwepa kabisa kutaja neno CCM, Nembo ya kampeni za Magufuli ni Mwenge badala ya Jembe na Nyundo ambayo ndio nembo rasmi ya CCM siku zote.
Hali hii inawasumbua sana makada wengi wa CCM ambao bado wanaamini CCM pekee bado ni mtaji wa kura kuliko Magufuli Pekee yake.

2/Kauli za Magufuli za wazi wazi majukwaani za kuikosoa serikali ya CCM iliyopo madarakani na watendaji wake. Hali hii inawapa wakati mgumu makada Wa CCM kutumia tena mafanikio ya serikali ya Kikwete iliyopo madarakani kama mtaji wa kuombea kura. WanaCCM wanasema mtindo wa kuikosoa serikali ni utamaduni wa upinzani hivyo hauwezi kuongeza chochote kwa CCM zaidi ya kuwafumbua Akili wananchi ambao mwisho wa siku wataamua kuchagua UKAWA maana serikali inayokosolewa ni serikali ya CCM pia.

3/Kuiga vionjo, kauli mbiu na Sera za UKAWA za kusema Watanzania wanataka MABADILIKO. Hii kitu inawapa makada wa CCM wakati mgumu zaidi maana imekuwa ikiongeza hamasa zaidi kwa Watanzania kuamua kuchagua UKAWA waana wao ndio waasisi na wapiga debe zaidi Wa MABADILIKO.

4/Magufuli amekuwa akiwataja wazi wazi katika vikao vya ndani na hata majukwaani makada wa CCM wa juu anaohisi wanamsaliti katika harakati zake za kampeni.
Makada wengi wa CCM wanasema kitendo hicho kimewafanya wasiaminiane, watengane na hata kufuatiliana wao kwa wao badala ya kufanya siasa za msingi.

Mkuu presidency is a serious post,it takes a couple of years for mental and psychological preparations for someone to perfect,urais sio surprise...a president material must be planned earlier and plan by himself to become,tatizo kubwa hyu jamaa ht yy naamini alishtushwa na nomination yake dodoma nahis lengo lake km ilivyo kwa kina makamba na wengine ilikua kuonesha nia kwa ajili ya future,after all Pombe at his best is not a president material!!!
 
analaana ya mkewe wewe ukiktaliwa na wa ubavu wako lazima upoteze mwelekeo amebaki analaumu kila mtu ana mlaumu mwenyekiti wake makada wenziwe walioko kwenye kampeni zake na wananchi kwake kila kitu lawama atapata wapi thawabu magufuli hovyo kabisa kati ya wagombea wote hajui kwa nini aliomba na fasi yakugombea uraisi
 
Na huu ndio ukweli halisi

Nakubali kuwa huo ndio ukweli anaoufanya Magufuli wala hajafanya kosa lolote. Magufuli pamoja na madhaifu yake kama binadamu anao ujasiri kuliko kiongozi yeyote aliepo ndani ya chama chake. Ujasiri na uthubutu pekee haviwezi kuwa vigezo pekee vya raisi kuongoza taifa ni lazima uwepo na uvumilivu, huruma, busara na hekima vitu ambavyo sivioni kwa Magufuli.

Magufuli atatekeleza tena bila huruma sheria yoyote kama ilivyo hatakuwa na huruma na pia kwa kuwa hupenda sifa hapimi uzito na madhara ya kauli zake wala hatafuata ushauri hadi azuiwe na waziri mkuu au raisi na mara nyingi hamwamini yeyote. Kwa haya anayoyahubiri majukwaani kwanza ni kuonyesha asivyo na imani kwa chama chake na viongozi waliomvumilia kwa miaka ishirini kwa kushangaa mapungufu yaliyopo kila unapogusa wakati nae alikuwa sehemu ya uongozi huo ngazi ya uwaziri na hakuihoji serikali wala chama chake.

Wananchi waelewa wanamshangaa kama nae anavyoshangaa. Amekataa kabisa kufuata uahauri wa baadhi ya makada aliopewa na chama kumnadi majukwaani. Ameacha kabisa kujinadi kwa nembo ya ccm badala yake amebuni nembo yake kwa herufi M na kuweka mwenge katikati ya herufi hiyo. Bora angeweka hata nyundo na jembe tena kwa idhini ya chama chake.

Katika kujinadi anasema serikali ya Magufuli itatekeleza hivi na vile badala ya serikali ya ccm. Wananchi werevu wanabaki kujiuliza toka lini Magufuli kamilikishwa serikali ya wananchi? Chama makini na serikali makini isingeweza kumvumilia mgombea wake wa namna hiyo tafsiri pekee unayoiona hapo ni serikali na chama dhaifu na legelege.Yote anayoyaahidi majukwaani yanatakiwa yafanywe na chama cha upinzani au mgombea binafsi kama angekuwepo na kama katiba ya nchi ingeruhusu.

Vinginevyo ndani ya mfumo uliopo ccm wa kukumbatia mafisadi na wezi wa rasilimali za taifa hata Magufuli na ujasiri alionao hawezi kuzitekeleza ahadi hizo. Hii inatokana na ukweli kwamba baada ya viongozi wetu kwenda Zanzibar na kulizika huko azimio letu la Arusha walirudi na mfumo wa kukumbatia wezi wa fedha za serikali, wezi wa rasilimali za taifa hadi kuogopa kuwapeleka mahakamani eti nchi itatikisika.

Ongezeko la uingizwaji madawa ya kulevya na wakwepa kodi wakubwa kubembelezwa kulipa kidogo kidogo na kuahidiwa kutoshtakiwa. Mfumo huu unasimamiwa na viongozi vigogo sasa Magufuli hizi sera zake atazitekelezaje au ataubadilije mfumo na abaki salama?Lakini Wananchi haswa wa nchi hii walivyo wanaweza kumpa kura nyingi tu na kubaki na maumivu yao kwa miaka kumi ijayo.

Bado mimi na bila unafiki nasema MABADILIKO UKAWA UKAWA LOWASSA.
 
Endeleeni na kupigia debe saccos yenu.
Hakuna mjadala rais ni John pombe magufuli.
 
UKAWA wanahubiri mabadiliko na Magufuli naye anasisitiza mabadiliko. UKAWA wanahubiri kuwa CCM imeshindwa kuwajali watanzania na Magufuli naye anasema hivyo, na Kinana anaweka msisitizo wa hilo! Kwanini Wapiga kura wasipigie UKAWA? Kwa niaba ya UKAWA nawashukuru sana Magufuli na Kinana kutuunga mkono! Wapiga kura: Kazi kwenu!!
 
Back
Top Bottom